Utajiri wa 'ngende' (ushirikina) una masharti magumu kuliko utajiri wowote ule duniani

Poleni sana, ni muda wa ndoa kuimarika na uzao kuongezekaa[emoji28]
Hahahaha ndio maana huku Chugga watoto wengi huzaliwa mwezi wa tatu, nne na tano. Baridi hii ni hataree yaani pombe Kali Kama maji tu
 
Wewe umetajirika unrepairable kujielezea mwenyewe na ndugu zako
 
Jamaa sio kauzu. Tamaa tu ndizo zilimpeleka
 
Mkuu ni PM
 
Hata msanii Rick Rose wa Marekani utajiri wake ni wa Ngende ,jamaa ana gari zaidi ya mia lakini haruusiwi kuendesha gari labda aendeshwe.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ole wako
Ukianza yaani pale mwanzon utapewa masharti rahisi utahisi ndo umefika
Sasa hela zikiaanza kuleta jeuri utasikia oh hela zako zinahitaji ulinzi imara sasa mara leta damu ya mwanadamu,viungo ya binadamu,katara ua mtu wako wa karibu,nk
Hapo ndio utajua hujui
Na ukikaidi unalambishwa sakafu au unamamizwa wewe mwenyewe
Shetani hajawahi kumpenda mtu kabisa usidanganywe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…