Utajiri wa 'ngende' (ushirikina) una masharti magumu kuliko utajiri wowote ule duniani

Utajiri wa 'ngende' (ushirikina) una masharti magumu kuliko utajiri wowote ule duniani

Poleni sana, ni muda wa ndoa kuimarika na uzao kuongezekaa[emoji28]
Hahahaha ndio maana huku Chugga watoto wengi huzaliwa mwezi wa tatu, nne na tano. Baridi hii ni hataree yaani pombe Kali Kama maji tu
 
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
usione mjini mtu kapendeza anakula Bata batani Hana Kaz haeleweki ukajua mtaasis au muuza madawa ya kulevya watu Wana kamba zao akitoka TU mlango anaiyangusha inaanza kusakanya mitaani huko mpaka jion inarudisha return
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
[em

Jifunze kusikiliza...kama hujui jua shit exist
Duuu ☹️
 
Kuna jamaa alipelekwa porini akaambiwa ageukie mlimani then adake kitu chochote kitakacho mjia.ghafla akaona booonge la mjiwe unaporomoka toka juu ya momma huku unavunja miti unabiringika kuja kwake..jamaa akalala mbele..akafeli[emoji23][emoji23][emoji23]. Unaanzaje kuudaka mjiwe mkubwa Kama ghorofa..
Jamaa sio kauzu. Tamaa tu ndizo zilimpeleka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sio mbali Kuna mwana mmoja asaiv ana vyuma hatarii alikula kiapo yeye na mkewe hakuna kuchepuka akitaka mwanamke lazima afunge nae ndoa Kwanza ndio amgegede.

Jamaa alikuwa Hana vyuma nikampeleka Hilo chimbo alivyofanikiwa kanikataa kabisa yaaani kisa mm sijataka huo utajiri habar ya kupangiana kugegeda sitak kusikia kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio mbali Sana nikupita mto wami TU kwa mbele
Mkuu ni PM
 
Hata msanii Rick Rose wa Marekani utajiri wake ni wa Ngende ,jamaa ana gari zaidi ya mia lakini haruusiwi kuendesha gari labda aendeshwe.😂😂😂
 
Ole wako
Ukianza yaani pale mwanzon utapewa masharti rahisi utahisi ndo umefika
Sasa hela zikiaanza kuleta jeuri utasikia oh hela zako zinahitaji ulinzi imara sasa mara leta damu ya mwanadamu,viungo ya binadamu,katara ua mtu wako wa karibu,nk
Hapo ndio utajua hujui
Na ukikaidi unalambishwa sakafu au unamamizwa wewe mwenyewe
Shetani hajawahi kumpenda mtu kabisa usidanganywe
 
Back
Top Bottom