Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Mkuu hz mambo Ni za kweli nilianza harakat za waganga tangu Niko primary school nilichoka na maisha ya geti nilitamani maisha yangu binafsi ya kiuchumi na kila nilipoenda kwa mtaalamu umri ulikuwa mdogo na walishangaa saana
Shule sikuipa nafas na nilisoma sababu TU ya mazingira ya home na nikapata vyet vizuri na taaluma Zaid ya moja lakini si pesa nayopata ndio ninayo hitaji
Nishazunguka kwa waganga Hadi Malawi changamoto kubwa nijitoe kafara au nitoe mtu hapo ndio naposhindwa nimeshafika mpaka mlango wa kuzimu yote Ni sababu ya pesa kwa umri nilio kuwa nao nishazunguka saana katika vilinge vya uganga

Nakubaliana na wewe asilimia 100 ,shetani yupo, utajiri wa njia za kishirikina upo, makafara yapo, uchawi upo, nguvu za giza zipo. Ila ninacho kiamini sio rahisi kama mleta mada ambavyo amezungumzia kwenye hii thread.
Ingekuwa ni rahisi hivyo leo wewe ungekuwa na magorofa na unasukuma bmw x6 au unatembelea range rover discovery.
Kama nachozungumza ni uongo wewe sii unasema masharti magumu ya kafara yalikushinda haya nenda kwa mtoa mada akupeleke kwenye hayo masharti marahisi ya kupeleka shilingi 10 kila mwaka, halafu uje ulete mrejesho hapa