Si unajua ndugu yangu, Kuna mda akili inahitaji inachotaja.Naona unakula melody ya twente pasenti, asilimaile.
SawA chawa tumekusikiaNdugu zangu nilichelewa kufanya booking, hivyo nitaondoka huku Mbeya Alhamis kisha jumapili ya tarehe 15 tutaendelea na simulizi yetu.
Nitashusha episode back to back.
Poa kupe endelea kuwepo.SawA chawa tumekusikia
Tena "back to back",kwa sauti ya Hajji Manara!Ndugu zangu nilichelewa kufanya booking, hivyo nitaondoka huku Mbeya Alhamis kisha jumapili ya tarehe 15 tutaendelea na simulizi yetu.
Nitashusha episode back to back.
Yule jamaa alisema atamkomesha, sijui nn kimemtokea master,,,, [emoji2]kitalembwa Lovelovie mafian Cartel mmash Restless Hustler vipi hamjamuona master huko??? Nasikia amepotea aiseee mkimuona mwambie anatafutwa kwa udi na uvumba hukuuu arostooo!!!
π³π³π³ Master ndo nani ccy?!kitalembwa Lovelovie mafian Cartel mmash Restless Hustler vipi hamjamuona master huko??? Nasikia amepotea aiseee mkimuona mwambie anatafutwa kwa udi na uvumba hukuuu arostooo!!!
Nani huyo tena?? Amuachie Master wetu aiseeehhh! Tuko arosto vibaya sanaYule jamaa alisema atamkomesha, sijui nn kimemtokea master,,,, [emoji2]
UMUGHAKA alienda kuonana na To yeye baada ya Ile ep ya mwisho.π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππ! Unaniangushaaa sis lol!! Master ni UMUGHAKA sis
Yule jamaa kisu chake ni butuYule jamaa alisema atamkomesha, sijui nn kimemtokea master,,,, [emoji2]
Nmecheka xn had vimkojo vmenitoka kidogoMisukule ya Umughaka inasubiri kabeji huku ikitukanana matusi makali ,mingine inalaumu na kusonya
Kuna id moja hivi,,,, scroll huko juu walikuwa wanabishana sijui nn,,,,! Jamaa alidai anawachafua wapemba na atamkomesha !Nani huyo tena?? Amuachie Master wetu aiseeehhh! Tuko arosto vibaya sana
[emoji2][emoji1][emoji2]TenaYule jamaa kisu chake ni butu