Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Hawa wapemba Wana kawaida ya kuchungulia nyota za watu akishaona nyota yako Ina mvuto basi anaanza kuwa karibu na wewe na kuanza kukusogeza Kwa mtego wa pesa na kazi za kupata riziki hapa na pale lakini Lengo ni kuiba nyota yako au kuitumikisha nyota yako Kwa manufaa yake.
Kama hayo uliyosema kweli wapemba wote wangelikuwa matajiri. Kuamini ushirikina ni uzuzu😂😂
 
Naomba kila msukule abaki na imani yake,hii story kama UMUGHAKA kaitunga au kaitungua pahali atakuwa anajua mwenyewe

Kuna kasehemu hapo eti UMUGHAKA alipewa pesa million 40 apeleke bank sijuhi kulikuwa na umuhimu gani wa yeye ndio aipeleke bank wakati Ally Mpemba angeweza tu kutuma mamba za acc kwa yule dada pesa ikawekwa bila kuirisk mikononi mwa umukurya
Acha ujuaji kwenye maisha ya watu,unajua story imetokea miaka mingapi ilopita?haya mtu unamdai anakuambia njoo chukua hela yako utahangaika kumwambia niwekee Bank wakati kakuitia cash?punguza uhasi kwenye maisha yako mkuu.
 
Jinsi ulivyo tapeliwa hiyo 9M umenikumbusha nilivyompa mtu 500k aipeleke mahali nikampa na elf 15 ya nauli japo nauli ilikua hata elfu 3 inatosha kufika njian akaichezea kamari akaliwa yote alafu akanipigia simu kwa simu ya kuazima akanimbia "Bro naomba kama una elfu mbili nitumie nikifika huko tutaongea"
Nikamuulize hela imefika? Akanijibu usiwe na haraka bro we nitumie elfu mbili nije nikuelezee vizuri kwa simu hutanielewa.

Nilimpa jibu moja tu "usirudi nitakuua"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom