Utajisikiaje shemeji yako akimuita dada yako “Demu” mbele yako?

Unaweza kwenda mbele ya wakwe ukamzungumzia Mchumba au mke kwa kusema huyu demu je ni maadili lakini tukiwa sisi wenyewe masela ni sawa kusema hivo ila sio mbele ya wakwe U mashemeji
Mi namwita demu wangu mbele ya wazazi wake. Siku nikichafukwa namwita 'mdinywa wangu' na hamna wa kuniambia kitu.

Mimi ni Mimi bhana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…