Utajisikiaje shemeji yako akimuita dada yako “Demu” mbele yako?

Mimi sifuatilii mzee nakutana nazo! Sizipendi na hazisaidii kabisa zaidi ya kunipandisha sukari tu😏
Wapi! Wakati nasikia unakwenda kugombea ubunge mwaka 2030 ili uendeleze umbea na shoga yako Kijakazi Yunus pale bungeni.
 
Wapi! Wakati nasikia unakwenda kugombea ubunge mwaka 2030 ili uendeleze umbea na shoga yako Kijakazi Yunus pale bungeni.
Aah we! Mimi sina jimbo labda wanivawie kimchongo! Kwenda kupiga umbea bungeni afadhali anayegawa mashamba tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…