Utajuaje kama alishawahi toa mimba mfululizo kabla ya kumuoa?

Utajuaje kama alishawahi toa mimba mfululizo kabla ya kumuoa?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwa wale wenye exp

UTAJUAJE KABLA ya kumuoaa huyu mdadaaa alikuwa ametoa mimba sana.

KUNA ndoa nyingi wanateseka kupata watoto na pale wanapoenda hospitalini hujulishwa mkeo ALISHAWAHI TOA sana Mimba

Nawaza wale wanandoa watatajiwa mtajuaje mtarajiwa ana shida hiyo?
 
Kwa wale wenye exp

UTAJUAJE KABLA ya kumuoaa huyu mdadaaa alikuwa ametoa mimba sana.

KUNA ndoa nyingi wanateseka kupata watoto na pale wanapoenda hospt hujulishwa mkeo ALISHAWAHI TOA sana Mimba

Nawazaaa wale wanandoa watatajiwa mtajuaje mtarajiwa ana shida hiooo ???
Labda
 
Hayo yote ni matokeo ya jamii yetu kuendekeza na kuabudu uzinzi ulio pitiliza, kwa hali hii unategemea kizazi kitapona kweli?

Siku hizi ndani ya jamii yetu mtu mzinzi ndo mjanja na ukiamuwa kutulia na kuuepuka uzinzi ,kama ni binti ataitwa mshamba ,kama ni wa kiume utaitwa domo zege au shoga.
 
4sure achaatu
 
Hapoo unakuta walishaoana MKUU
unaweza kwenda na GFriend kumchk HAYA KWELI asijue labdaa
• Kuwa muwazi, na uwe muongoza njia kama Mungu alivyo kupa mamlaka ya kuongoza familia.

• Kwa nini umuogope mwanamke kumwambia kitu kama hicho,??? ( labda kama mpo kwenye mpenzi ya vichochoroni hapo itakuwa ngumu)
 
Inahitaji HEKIMA Sanaa amkuu wanawake wengi wamefanya sana hii kitu na ushatunza miaka sita ukamwambie tukachk mmmh...
 
Inahitaji HEKIMA Sanaa amkuu wanawake wengi wamefanya sana hii kitu na ushatunza miaka sita ukamwambie tukachk mmmh...
• Unajua katika maisha, usiogope kufanya kitu fulani ikiwa tu kina manufaa kwako au kwa familia kwa ujumla.

• Mimba mwanamke anaweza kutoa kutokana na sababu mbali mbali :-

1 • ilitoka yenyewe( lakini alikuwa na lengo la kuzaa)

2 • Alitoa kwa kulazimishwa( mwenye Mimba aliikataa, alikuwa mwanafunzi, wazazi walimtoa kwa sababu hawakutaka azae na kijana fulani)

3. Ilitolewa kwa ajili ya kulinda afya yake( Mimba kutungwa inje ya kizazi)

4. Hulka yake kufanya hivyo kila Mimba ikiingia( umalaya kwa sana)

Sababu hizo hapo juu ni zinaweza kusabaisha Mimba kutoka/kuhariba,
Je!, utakubalina na sababu moja wapo atakayokupa kati ya hizo hapo juu na mkaendelea kuwa wamoja??? 🤔🤔
 
Back
Top Bottom