Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
watu wa zamani waliweza kujua , kuna vitu waliangaliaKwa wale wenye exp
UTAJUAJE KABLA ya kumuoaa huyu mdadaaa alikuwa ametoa mimba sana.
KUNA ndoa nyingi wanateseka kupata watoto na pale wanapoenda hospitalini hujulishwa mkeo ALISHAWAHI TOA sana Mimba
Nawaza wale wanandoa watatajiwa mtajuaje mtarajiwa ana shida hiyo?
kuna kipindi bibi alitutembelea hapo dar. hapo hom kulikuwa na mpangaji ,tulisikia ametoa mimba
sasa kuna siku bibi alimtazama akaniuliza huyu binti ana mtoto ? nikamjibu hapana , bibi akaniambia basi atakuwa ametoa mimba
nikamuuliza bibi kajuaje?
bibi akaniambia muonekano wa shingo ya msichana ambaye hajazaa na aliyezaa ni tofauti
sema sikujifunza zaidi