Utajuaje kama alishawahi toa mimba mfululizo kabla ya kumuoa?

Utajuaje kama alishawahi toa mimba mfululizo kabla ya kumuoa?

Mbona simple tu? Labda kazi ngumu kwa wale wanaochelewa sana kuoa. Mimi nimeoa nikiwa na umri wa miaka 24. Na nikaoa binti wa miaka 18 tu,bado mbichi kabisa.

Pia Muhimu uwe na muda nae kiasi kwenye kuwa karibu nae. Walau usiopungua mwaka mmoja. Utapata muda wa kumchunguza.

Kwako sasa mfano kwa binti kama huyo hata usimkute bikra bado utakuwa umeoa mtu ambae hajafanya mambo mengi ya dunia hii
 
Mbona simple tu? Labda kazi ngumu kwa wale wanaochelewa sana kuoa. Mimi nimeoa nikiwa na umri wa miaka 24. Na nikaoa binti wa miaka 18 tu,bado mbichi kabisa....
Uchumba mmekaa mda Gani sorry.

Umeoaaa ana miaka 18 kama uchumba say 3 yrs ulianza nae ana 15...heshima kwakoo
 
Nyapu na matiti vinakua na mlegeo na wrinkles za hapa na pale maana km za chuma kutembea zinakua recorded hata kama chuma utaikuta imepaki,anyway 90%ya wanawake ni wauaji wa siri!
 
Nyapu na matiti vinakua na mlegeo na wrinkles za hapa na pale maana km za chuma kutembea zinakua recorded hata kama chuma utaikuta imepaki,anyway 90%ya wanawake ni wauaji wa siri!
Ahahahaaaaa...!
 
Hii ishu iko serious ziku za karibuni, kuna Couple kama mbili za ndoa kabisa zinateseka sana. Couple ya kwanza wana miaka 9 bila bila na hii ya Couple ya pili wana miaka 5 nayo bila bila hakuna mtoto, mpaka jamaa namuonaga ana stress sana ishu ndogo tuu anaweza akakupandishia mpaka ukaona jamaa vip aisee. Kujua background ya tunaotaka kufanya nao maisha ni muhimu kwa wote KE na ME. Ila uzinzi ndio chanzo kikuu watu wananyanduana aisee mpaka sio poa.
 
Kuwa na roho ngumu, kabla ya kuoa tenga fungu la hela, mpeleke hospitali kubwa kwa ajili ya checkup, fanya fertility test, cheki kizazi kama kiko flesh, pima magonjwa ya kurithi halafu na wewe jipime uhakikishe uko flesh.

Baada ya hapo omba Mungu sana then Oa
Usisahau kupima afya ya akili.
 
Tafiti zinaonesha Wanawake ndio wenye shida za uzazi kwa kiasi kikubwa kuliko Wanaume.Katika sample ya Wanawake 5 ,watatu [3] kati yao lazima wana tatizo la uzazi hii inatokana na life styles zao hasa matumizi ya madawa ya uzazi wa mpango kama P2,vijiti,vitanzi, n.k

Mbaya zaidi ni kwa wadada zetu ambao wamefika elimu ya vyuo,huko ndio fungulia mbwa.Mabinti hawajiheshimu wanaona wamepata uhuru wa kifanya mambo.
Huyo Mwanamke kama America Chuo kikuu,kuna uwekano wa 95% ametoa ujauzito.
**tamaa mbele mauti nyuma
 
Hapo ndio utaona kwa nini Wadada wakazi watu huwa wakipiga tu mara 1 mimba hiyo,ni kutokana na kuwa wengi wametokea vijijini hawajui na hawakuwahi kutumia hizo njia za uzazi wa mipango.
 
Unajuaje tatizo liko kwa mwanamke na isiwe kwa mwanaume???
Wanaume wengi huwa tunadhani kuwa kama tunaweza kupiga bao basi tunaweza kutungisha mimba. Kumbe kuna factors nyingi kweli kweli (mf. low sperm count, docile/immobile sperms); na shida zingine kibao)

Boya mmoja hapa alikuwa ameanza mchakato wa kumuacha mkewe kisa eti hazai (wana miaka miwili kwenye ndoa). Kwenda kufanya checkup ya maana imebainika kuwa mwanaume ndiye ana matatizo. Sperms zake haziwezi kuogelea na hata zikiogelea ni mwendo wa kujikongoja sana. Alipewa dawa na kaambiwa ale sana walnuts pamoja na almonds. Mpaka ninapoandika hapa mkewe ana mimba ya miezi mitatu.

Na huyu ana bahati. Angekuwa mwanamke mjanja angejiongeza tu huko nje na kumbambikia jamaa.

Kukiwa na tatizo la uzazi basi wahusika wote wachunguzwe vizuri japo jamii hukimbilia kumlaumu mwanamke!
 
Back
Top Bottom