proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
embu semaMwanamke aliyelala na wanaume wengi utamjua kwa kuangalia mabega yake ..yameshuka..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
embu semaMwanamke aliyelala na wanaume wengi utamjua kwa kuangalia mabega yake ..yameshuka..
Kuoa Mwanamke aliyopita chuo kikuu kwa kweli kwa asilimia kubwa ni hasara kuliko faida.
Wasomi wengi wa vyuo wanakuwa washavuka "best fertility time" ambayo ni 17-25 yrs sasa ukichukua shangazi wa 28yrs hapo lazima mbust uzazi mix kuhangaika sanaKwa nini mkuu?
Mimi nadhani ni tabia tu ya mtu maana siyo wote waliopita chuo kikuu walifanya umalaya huko. Na unaweza kuoa ambaye hajapita chuo kikuu na mtaa ukawa umemchakaza. Kuna mabinti wengi tu waliopita vyuo vikuu lakini walijiheshimu wakatoka wako vizuri hawajatumika sana hata kama walideti huko na kuwa na permanent lovers.
Tusiwahukumu wasomi mkuu. After all tuliowaharibu huko vyuoni ni sisi wenyewe hawa hawa. Kwani tulitegemea nani atakuja kuwaoa? 😳
Fertility Test ambayo ni 100% accurate ni kumpachika mimba na kumzalishaKuwa na roho ngumu, kabla ya kuoa tenga fungu la hela, mpeleke hospitali kubwa kwa ajili ya checkup, fanya fertility test, cheki kizazi kama kiko flesh, pima magonjwa ya kurithi halafu na wewe jipime uhakikishe uko flesh.
Baada ya hapo omba Mungu sana then Oa
Sidhani. Mbona wapo 35+ na wanazaa vizuri tu? Mimi nadhani ni jinsi mtu alivyojitunza.Wasomi wengi wa vyuo wanakuwa washavuka "best fertility time" ambayo ni 17-25 yrs sasa ukichukua shangazi wa 28yrs hapo lazima mbust uzazi mix kuhangaika sana
Ukiona period ujue ni mayai yanasepa sasa kadri mda unavyokwenda mayai bora yanatoka yanabakia yaliyo dhaifu, pili mfumo wa maisha na kutokula vyakula vya asili, kula kisasa na mafuta sana hupelekea kuwepo kwa matatizo ya uzazi hasa hormone imbalance na mayai dhaifuSidhani. Mbona wapo 35+ na wanazaa vizuri tu? Mimi nadhani ni jinsi mtu alivyojitunza.
Mtu hajawahi kutoa mimba. Hajawahi kutumia hizi sumu za uzazi wa mpango. Hajawahi kufakamia p2. Na yuko 28+. Kwa nini ashindwe kuzaa? 😳
Haswaa, umemaliza kila kitu.Hayo yote ni matokeo ya jamii yetu kuendekeza na kuabudu uzinzi ulio pitiliza, kwa hali hii unategemea kizazi kitapona kweli?
Siku hizi ndani ya jamii yetu mtu mzinzi ndo mjanja na ukiamuwa kutulia na kuuepuka uzinzi ,kama ni binti ataitwa mshamba ,kama ni wa kiume utaitwa domo zege au shoga.
Naunga Mkono hojaFertility Test ambayo ni 100% accurate ni kumpachika mimba na kumzalisha
kabla ya ndoa. Usioe mwanamke ktk zama hizi kabla hujamzalisha. Utakuja kuita maji mma!
Km alishawahi TOA sana chini basi jua fika alishawahi TOA sana MimbaNawaza wale wanandoa watatajiwa mtajuaje mtarajiwa ana shida hiyo?
Hii biology ya WAPI?Ukiona period ujue ni mayai yanasepa sasa kadri mda unavyokwenda mayai bora yanatoka yanabakia yaliyo dhaifu
[emoji419]Hayo yote ni matokeo ya jamii yetu kuendekeza na kuabudu uzinzi ulio pitiliza, kwa hali hii unategemea kizazi kitapona kweli?
Siku hizi ndani ya jamii yetu mtu mzinzi ndo mjanja na ukiamuwa kutulia na kuuepuka uzinzi ,kama ni binti ataitwa mshamba ,kama ni wa kiume utaitwa domo zege au shoga.
Mwanamke anazaliwa na mayai yake yote, kila hedhi inayopita bila kutunga mimba yai/mayai yanakuwa yamepotea bure now jumlisha mimba zilizotoka, na kila mwaka unaopita uwezo wa kuzaa unakuwa umepungua.Sidhani. Mbona wapo 35+ na wanazaa vizuri tu? Mimi nadhani ni jinsi mtu alivyojitunza.
Mtu hajawahi kutoa mimba. Hajawahi kutumia hizi sumu za uzazi wa mpango. Hajawahi kufakamia p2. Hajawahi kupata magonjwa ya zinaa. Na yuko 28+. Kwa nini ashindwe kuzaa? 😳
Siyo kweli mkuu. Labda hapa unazungumzia wale ambao hawajitambui; na walioaminishwa na jamii kwamba thamani ya mwanamke inatokana na yeye kuwa na mume. Au wale ambao wamepitia hekaheka nyingi za mapenzi na ngono mpaka miili yao imeanza kuchoka.Hakuna manzi rahisi kumpata Kama mwanamke wa miaka 30 awe single uwe na akili na maisha kidogo
FactKama mtu kaanza ngono na miaka 13 na kakutana na boys straika, wanaotafuta medali za dhahabu, kizaz na mfumo wa uzazi lazma vizeeke haraka.
Hapo sijagusia vidonge, maambukizi ya Ngono, vyakula, nk.
Msichana anaweza asitumie hizo contraceptives lakini hiyo mikiki Tayari kizazi kimekwisha. Wahongaji Hawataki kusamehe hata senti nusu. [emoji2960]
Sidhani. Mbona wapo 35+ na wanazaa vizuri tu? Mimi nadhani ni jinsi mtu alivyojitunza.
Mtu hajawahi kutoa mimba. Hajawahi kutumia hizi sumu za uzazi wa mpango. Hajawahi kufakamia p2. Hajawahi kupata magonjwa ya zinaa. Na yuko 28+. Kwa nini ashindwe kuzaa? 😳
Hii biology ya WAPI?
Mimba haihusiani na ubora wa yai bali ubora wa mji wa Mimba na ubora wa Mbegu ndio maana hutakuta popote mganga kaweka Bango la nguvu za kike sijui Dawa ya kuimarisha yai la uzazi na ujinga mwingine wowote unahusiana na hayo
Matumizi ya vidhibiti Mimba ndio vinaharibu kila kitu kwa Mwanamke kuanzia vijiti na madawa mengine hususani hii Dawa yao pendwa ya kisasa inaitwa P2
Mwanamke Mji wake wa Mimba upo kwa ajili ya kupokea Mimba anafanya vinginevyo kuzuia asipate Mimba ndio shida inaanza mfano kuziba kwa mirija ya uzazi, kansa ya kizazi, kuharibika kwa Mji wa Mimba, na mengineyo