Nahisi hili ndo jibu sahihi 🤝🤝KUNA ndoa nyingi wanateseka kupata watoto na pale wanapoenda hospt hujulishwa mkeo ALISHAWAHI TOA sana Mimba
LabdaKwa wale wenye exp
UTAJUAJE KABLA ya kumuoaa huyu mdadaaa alikuwa ametoa mimba sana.
KUNA ndoa nyingi wanateseka kupata watoto na pale wanapoenda hospt hujulishwa mkeo ALISHAWAHI TOA sana Mimba
Nawazaaa wale wanandoa watatajiwa mtajuaje mtarajiwa ana shida hiooo ???
Bwana mdogo, hiyo huwezi kujua, labda akuambie yeye.Kwa wale wenye exp
UTAJUAJE KABLA ya kumuoaa huyu mdadaaa alikuwa ametoa mimba sana...
4sure achaatuHayo yote ni matokeo ya jamii yetu kuendekeza na kuabudu uzinzi ulio pitiliza, kwa hali hii unategemea kizazi kitapona kweli?
Siku hizi ndani ya jamii yetu mtu mzinzi ndo mjanja na ukiamuwa kutulia na kuuepuka uzinzi ,kama ni binti ataitwa mshamba ,kama ni wa kiume utaitwa domo zege au shoga.
• Kuwa muwazi, na uwe muongoza njia kama Mungu alivyo kupa mamlaka ya kuongoza familia.Hapoo unakuta walishaoana MKUU
unaweza kwenda na GFriend kumchk HAYA KWELI asijue labdaa
Inahitaji HEKIMA Sanaa amkuu wanawake wengi wamefanya sana hii kitu na ushatunza miaka sita ukamwambie tukachk mmmh...• Kuwa muwazi, na uwe muongoza njia kama Mungu alivyo kupa mamlaka ya kuongoza familia.
• Kwa nini umuogope mwanamke kumwambia kitu kama hicho,??? ( labda kama mpo kwenye mpenzi ya vichochoroni hapo itakuwa ngumu)
Hii mbinu mpyaMwanamke aliyelala na wanaume wengi utamjua kwa kuangalia mabega yake ..yameshuka..
Wazee wa zamani walipotaka kumchagua binti kijijini kwa ajili ya kijana wao .walikuwa wanaangalia mabega.. kushuka kwa mabega.. chini sana .. nikipata picha nitawekaHii mbinu mpya
Elezea kidogo
Yameshukaje? Tuelimishe!Mwanamke aliyelala na wanaume wengi utamjua kwa kuangalia mabega yake ..yameshuka..
• Unajua katika maisha, usiogope kufanya kitu fulani ikiwa tu kina manufaa kwako au kwa familia kwa ujumla.Inahitaji HEKIMA Sanaa amkuu wanawake wengi wamefanya sana hii kitu na ushatunza miaka sita ukamwambie tukachk mmmh...