Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Uchumba mmekaa mda Gani sorry.Mbona simple tu? Labda kazi ngumu kwa wale wanaochelewa sana kuoa. Mimi nimeoa nikiwa na umri wa miaka 24. Na nikaoa binti wa miaka 18 tu,bado mbichi kabisa....
Ahahahaaaaa...!Nyapu na matiti vinakua na mlegeo na wrinkles za hapa na pale maana km za chuma kutembea zinakua recorded hata kama chuma utaikuta imepaki,anyway 90%ya wanawake ni wauaji wa siri!
Usisahau kupima afya ya akili.Kuwa na roho ngumu, kabla ya kuoa tenga fungu la hela, mpeleke hospitali kubwa kwa ajili ya checkup, fanya fertility test, cheki kizazi kama kiko flesh, pima magonjwa ya kurithi halafu na wewe jipime uhakikishe uko flesh.
Baada ya hapo omba Mungu sana then Oa
Hio nayo ni muhimu, vichaa wengi siku hiziUsisahau kupima afya ya akili.
🥸[emoji2][emoji846]Mwanamke aliyelala na wanaume wengi utamjua kwa kuangalia mabega yake ..yameshuka..
Shavu linakuwaje?Zingatia mashavu mzee wangu
Hakuna Dr atatoa taarifa ya ajabu kama hiiKUNA ndoa nyingi wanateseka kupata watoto na pale wanapoenda hospitalini hujulishwa mkeo ALISHAWAHI TOA sana Mimba
Ongezea nyama kidogo mkuuMwanamke aliyelala na wanaume wengi utamjua kwa kuangalia mabega yake ..yameshuka..
Wanaume wengi huwa tunadhani kuwa kama tunaweza kupiga bao basi tunaweza kutungisha mimba. Kumbe kuna factors nyingi kweli kweli (mf. low sperm count, docile/immobile sperms); na shida zingine kibao)Unajuaje tatizo liko kwa mwanamke na isiwe kwa mwanaume???
tupe tupe mkuuMatiti.
Naomba nisiweke maelezo ya ziada.