Utajuaje kama alishawahi toa mimba mfululizo kabla ya kumuoa?

watu wa zamani waliweza kujua , kuna vitu waliangalia
kuna kipindi bibi alitutembelea hapo dar. hapo hom kulikuwa na mpangaji ,tulisikia ametoa mimba
sasa kuna siku bibi alimtazama akaniuliza huyu binti ana mtoto ? nikamjibu hapana , bibi akaniambia basi atakuwa ametoa mimba
nikamuuliza bibi kajuaje?
bibi akaniambia muonekano wa shingo ya msichana ambaye hajazaa na aliyezaa ni tofauti
sema sikujifunza zaidi
 
miaka 28 kwamba hajawahi kufanya au?
 
Maziwa yana lala mno
 
Wasomi wengi wa vyuo wanakuwa washavuka "best fertility time" ambayo ni 17-25 yrs sasa ukichukua shangazi wa 28yrs hapo lazima mbust uzazi mix kuhangaika sana
Kweli nilipata lishangazi lilikuwa na miaka 36 kila likibeba ujauzito unatoka, kuchunguza alikuwa anatomic uzazi wa mpango na Madawa mengine ya kurudisha edhi.
 
Kweli nilipata lishangazi lilikuwa na miaka 36 kila likibeba ujauzito unatoka, kuchunguza alikuwa anatomic uzazi wa mpango na Madawa mengine ya kurudisha edhi.
Achaneni na mashsngazi...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimesikitika sana kuona huu izi..nilimkosa mwanaume kisa kutaka nibene mimba ndio aje nyumbani, nadhani alikua na mawazo kama ya mtoa mada.
 
Thread ya namna hii huwezi kuona comment ya mdada, women are more reserved than men nowadays.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…