Utajuaje kama huna nafsi au umeuza nafsi

Spirits of animals in a natural world are drown from souls of men.
 
Ina maanda biblia ilikuwepo muda mrefu sana
 
Ina maanda biblia ilikuwepo muda mrefu sana
zamani haikuwako biblia kama kitabu kimoja hivi,yalikuweko maandiko mbalimbali ya waandishi walioandika kila mmoja kwa namna yake,baadaye ndio wahariri wakajiteua kuleta hicho kitu kinaitwa biblia,ambayo imeandika tu historia ya wayahudi kisha waisraeli,historia nyingi na maandiko mengi yamefichwa ili kuhalalisha ukuu wa taifa la Israel,ndio maana ukisoma biblia mwanzo hadi mwisho(mimi nimesoma) utagundua hakuna cha zaidi ya mtiririko wa hadithi moja ya kuanzia adamu hadi daudi,kisha yesu...vyote vinahusu hao waisraeli.

swali ni je?...hakukua na waandishi walioandika historia za watu wengine?..mfano

kaini na kizazi chake
Ishmael aliishia wapi
Watoto wa Nuhu

mambo mengi biblia imetuachia mafumbo,tunabishana tu bila uhakika lakini haijajibu kuhusu chanzo cha race mbalimbali kama sisi weusi,wahindi,waasia,waamerika n.k...

sasa hayo yote historia zake zipo ila zimefichwa au kupotezwa makusudi ili kuficha ukweli wa mambo ambao ukifahamika pengine dunia isingekua mahali salama pa kukaa.

Mfano wa knowledge ambazo zimefichwa na kuhodhiwa na wachache ni USHIRIKINA,huu tulionao waafrika wa kunasishana mtu akiiba mkeo na kuuza radi ni wa kitoto,na ni ishara kwamba tungejua siri zote za kufanya ushirikina sisi waafrika tusingeishi,tungeuana na kila mmoja angekua mbabe... ushirikina umehodhiwa na watu wachache sana ambao waliwahi kujua madhara yake kama kila mmoja ataweza kuwa na access nao,ndio maana kuna kozi maalumu watu wanasomea za ushirikina.

Kwahiyo biblia ni kitu geresha tulipewa na wajanja kutuziba akili ili tusiwe wabunifu zaidi...anyway pangine ilitakiwa iwe hivi ili angalau kizazi cha binadamu kiweze survive,unless isingekua mahala salama kama knowledge yote kuhusu ulimwengu ingekua accessible na kila mmoja.
 
Uwe unawambia waache unafiki basi hawaongozi mang’ombe
 
Daaah! Nina hofu ya Mungu ila moyo wangu umeingia baridi kwenda kanisani!
 

Maswali ni mengi hapa ya kujiuliza kuna mengi tumefichwa
 
#JAMES WEB TELESCOPE NA DINI

wanasubiri chombo ifanye yake utukufu wapeleke kwenye dini zao, utawasikia "Quran ilishagaandika" au "bibilia ilishagaandika" are you serious?

Binafsi naamini Mungu Ila siamini dini, dini ni mfumo tu ulioanzishwa na wadamu usikae kwenye dini yako kisha ukaanza kusema dini zingine za uongo

Hii ndo imefanya kuwe na mtafaruku na uvunjifu Wa amani duniani

Nilikutana na mtu mmoja mm nilikuwa nakula ice cream asubuhi akaniambia "imani yangu ni kutokula ice cream wakati Wa asubuhi" nikamjibu it is fine usile, akaniambia "hujanielewa, namaanisha kutokana na imani yangu ya kutokula ice cream wakati Wa asubuhi wewe pia huruhusiwi kula ice cream wakati Wa asubuhi, nikamuangalia usoniiii nikaangalia na viatu alivyovyaa nikaamua kuachana naye"

Hivyo ndivyo dini zinavyofundishwa
Tunalazimishana kuamini kitu Fulani

Mnakaririsha hadi watoto wadogo wawaite wasioamini makafiri, au wanaokula nguruwe waitwe makafiri wakati huo huo hujui ukiupungukiwa damu unaenda hospitalini kujazwa damu ya nani? Ni ya hao hao makafiri wala nguruwe ambao damu yao Ina chembe chembe za kitimoto

Leo mkristo anaamini yesu ni Mungu wakati akisilimu anaamini yesu sio Mungu vise versa kwa msilamu anaamini yesu sio Mungu lakini akibadili dini na kuwa mkristo anaamini yesu ni Mungu

Dini ni Kama kuandika namba 6 chini

Tukikaa pande mbili tofauti mm nitaiona 6 wewe utaiona 9 kwahiyo wewe kuwa sahihi haimaanishi Mimi Niko wrong, you have not seen the life by my side, ukija upande wangu utaiona ni 6 na utakubaliana na Mimi

Kibaya zaidi tunatishana eti usipoamini dini Fulani unaenda motoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wrong huo ni uvivu Wa kufikiri

Ebu fikiria kuhusu Eskimo walioko Greenland ambao hawajui uislam wala ukristo je akifa anaenda motoni sababu hakuwa muislam au mkristo? Kama jibu ni ndiyo hamuoni Kama anaonewa kwa kuhukumiwa kwa kitu ambacho hakijui?

Kama ataenda mbinguni kwanini nyinyi mnajitia kihelehele kuwasambazia watu dini zenu worldwide badala muwaache wafe wakiwa hawajui lolote ili waende mbinguni? Maana nyinyi hamuwapendi wasioamini mnataka muwaingize mkenge kisa nyinyi mshaingia mkenge

Lakini je babu Wa babu Wa babu Wa babu Wa babu Wa babu Wa babu Wa babu yako yuko mbinguni au motoni anababuka tu[emoji23][emoji23] maana alikufa ilihali sio msilamu au mkristo

Tusikaririshane kwamba uislam au ukristo ndo dini sahihi na kupeleka utukufu kwenye dini zenu

India tu pekee kuna dini zaidi ya 1000, je umefatilia hizo dini zote ukaona Kama ni za kweli au uongo?
Na je ukweli ni upi na uongo ni upi?
Unatumia vigezo gani kusema huu ndo ukweli na huu ndo uongo?

Alafu Kama kweli dini zenu ndo kila kitu je Mungu Wa wakristo ndo huyo huyo Wa waislam? Kama jibu ni ndiyo je mbona ahadi zake zinatofautiana?

Ninavyojua Mimi kila mtu ananamna yake ya kutafsiri mungu/Mungu whatever utakavyoita mwingine anaamini ni Energy mwingine anaamini ni laws of nature(kanuni za asili) na mwingine anaamini ni "personal being" kila mmoja yuko sahihi kwa tafsiri yake sababu hakuna common standard ya measurement ya tafsiri

Dini ibaki Kama dini na kila mtu abaki na imani yake na sayansi ibaki mam sayansi na mambo yake

James web telescope itatuambia vingi kuhusu universe tunatumaini itatusaidia kukomboa maswali mengi zaidi ambayo zamani yalikuwa chini ya mwamvuli Wa dini Ila sayansi imekuwa ikiyakomboa na imeendelea kuyakomboa na itafanya hivyo sikuzote

Usichanganye sayansi na dini hutakawia kusema "jamaa wanakufuru wanataka wamchunguze mungu/Mungu" kitu ambacho si kweli
 
Duh,
Ngoja nikisome...
 

Mkuu kuna uhusiano gani kwa mtu asie na nafsi na kufanikiwa kimaisha au kutokufanikiwa kimaisha?
 
Mkuu kuna uhusiano gani kwa mtu asie na nafsi na kufanikiwa kimaisha au kutokufanikiwa kimaisha?

Watu wenye nafsi wengi wao hatuna alama M kwenye viganja vya mkono. Ukiwa na M kwenye alama za viganja vya mikono jua kwamba destiny yako tayari ilisha pangwa kama utafanikiwa unafanikiwa kweli na kama ukiwa maskini unakuwa maskini kweli. Mtu asiyekuwa na M ndio mwemye chaguo la maisha yake kupanga kila kitu anachotaka kumiliki katika maisha.

Ukiwa na nafsi ni rahisi kufanikiwa sana kwani nafsi ndio inakuunganisha na mungu aliye juu zaidi kupitia uwezo wa ubongo wako. Mfano simu bila mnara haiwezi kufanya kazi vizuri kwakuwa hakuna network. Ndio hivo kwenye upande wa nafsi ukiwa nayo unaweza kuwa na mawazo chanya mfano amani na upendo na mafanikio kila saa ambapo mawazo haya chanya yanakuungalisha na Universe au Nature.

Kwa sasa angalia vinganja vyako utapata jibu. Tafuta kitabu cha the secret cha rhonda byrne. Nafsi yako ndio inakuunganisha na Most High God kama huna nafsi unaunganishwa na Dark Lord au Luciferiana Order ambapo unakuwa adui na binadamu wenzako kwakiwa unakuwa umetawaliwa na chuki wivu na roho mbaya watu wakifanikiwa unaumia.
 

Asante sana mkuu nimekuelewa sana juu ya ueleweshaji
 
Sometimes education can be a way to drive us from a sound mind to imbecility
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…