Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wala hachoshi,sema we mvivu kusoma na ni ishara kuwa huna nafsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wala hachoshi,sema we mvivu kusoma na ni ishara kuwa huna nafsi
Ni kweli nafsi ndio uhai, ila kuhusu tabia za kizazi Cha 2000 kaongea ukweliMtoa mada janjajanja, hakuna binadamu anayezaliwa bila nafsi
Ungetuambia kwanza maana ya Nafsi ungekuwa umefanya jambo la msingi sana.Utulivu wa nafsi ni mafanikio. Nitoe angalizo tuu kuwa Hii mada sio kwa ajili ya kila mtu ni kwaajili ya watu wachache sana ndio wataelewa.
Kwa mujibu wa tafiti za kiroho inathibitishwa kuwa asilimia 75 ya wakazi wa hapa duniani hawana nafsi. Ikumbukwe binadamu anakamilishwa na vitu vitatu ambavyo ni mwili, nafsi na roho. Nikisema tafiti za kiroho namanisha wenye uwezo wa kuona vitu wanaona jinsi demons au mapepo wanavyoruka kutoka ndani ya mtu mmoja na kwenda kwa mtu mwingine.
Kwa mfano mimi kuna kipindi nilikuwa nashambuliwa sana na demons au mapepo kupitia empty souls au watu wasiokuwa na nafsi ambao wanaingiliwa na mapepo bila wao kujua na kujikuta wakifanya vitu vya ajabu mbele yangu ili kunipa hofu kuwa kuna kituhakipo sawa.
Mapepo walinishambulia sana kwa kupitia watu hawa ambao hawana nafsi mfano nilikuwa nafatiliwa na watu kila niendapo, kila kazi nikifanya naharibiwa au nasambaziwa taarifa za uongo za kunichafua bila mimi kujua. Miongoni mwa vitimbi ni kukohoa ovyo kucheka ovyo na chuki za waziwazi kwa watu ninao wajua na hata nisio wajua au kufatiliwa na watu wanaovaa aina fulani za nguo lakini mwisho wa siku nilishinda mbinu za adui.
Badae nilikuja kupata Maarifa ambayo yalinifungua nikajua baadhi ya siri za ulimwengu ikiwamo baadhi ya siri za mfalme suleiman ndipo nilipojua ukweli kuhusu “Tzvarnoharno” nguvu ya Tzvarnoharno ni kubwa sana. Pale mtu anavyo pata kujifahamu yeye ni nani na asili yake ni nani huanza kushambuliwa katika ulimwengu wa roho kama wewe una roho ndogo unaweza kudhani unalogwa lakini kama ni mtu wa imani utajua ni devil yule mwovu anakujaribu.
Fanya utafiti au reseach juu ya neno “Tzvarnoharno” utajua baadhi siri za mfalme suleimani kwanini aliweza kuwamiliki majini 72 na kuyatumikisha atakavyo.
Chanzo cha binadamu/ watu kukosa nafsi ni moja ni kuzaliwa ukiwa hivyo ukiwa huna nafsi hii inaitwa glitch in the matrix na mbili ni kuuza nafsi ili uweze kutumika kama chombo (vessel/portal) na viumbe wa daraja la chini kama vijini. Mtu mwenye vijini au anayepandisha kijini huyo hana nafsi wala nguvu yoyote ya kiroho na muda wote huwa na hisia kama upepo unaingia mwilini mwake.
Kukosa nafsi kwa lugha rahisi naweza kutoa mfano wa kifaa kama Computer. Bila kuwekwa Operating system computer haiwezi kufanya kazi kwamfano huo ni kwamba ili uweze kutumia vizuri computer ni lazima uwe na Windows bila hiyo windows inakuwa computer ambaye haija kamilika.
Watoto wengi waliozaliwa kuanzia miaka ya 2000 (millennials) wengi wao hawana nafsi ni kama Bots tuu. Maisha yao ni vanity and greedy hawana uwezo wa kuchambua hoja au uwelewa wa kuwa na malengo katika maisha yao. Hawana malengo isipokuwa wachache sana ambao wamebahatikq kuzaliwa wakiwa kamili.
Katika mada zangu nimekuwa nikizungunzia kuhusu negative and positive energies. Negative energy mfano wake ni fears, worrying, hate, green, overindulge in sex, addictions drugs and cigarettes to mention the few.
Kwa upande wa positive energy mfano wake ni definite purpose in life, thinks of love, success, abundance,prosperity,courage and faithfulness to mention the few.
Katika mada zangu nimeweza kuelezea wasomaji wangu wachache kuhusiana na watu ambao ni narcissist au sociopaths ambao ni watu wenye negative energy na vilevile katika mada zangu nimweza kuzungumzia watu wema au wenye positive energy ambao ni empathetic au empaths.
Watoto wengi wanaozaliwa kipindi hichi hawana nafsi kama ukifanya uchunguzi kwa watoto tena ni rahisi sana kwa mtu anayekaa nyumba ya kupanga au uswahilini unaweza ukaona kuna watoto wa aina mbili wachoyo wenye wivu na watundu na vile vile ukaona watoto watoaji na watulivu. “ ondoa mtazamo kuwa hao ni watoto tuu” hakuna kitu kama hicho. Tabia ya mtu ni ile ya utotoni usidanganye hata kama mtoto wako anatabia hizo jua ndio hivo tena. Ndio mana wazee wwa zamani walikuwa wanauwa watoto wachanga kwani waliweza kujua kuwa huyu mtoto hana nafsi nilioewa maarifa kuhusu utamaduni wa kabila la wapare wa milimani kuna utamaduni wao unaitwa Nkumba Vana. Kwa mpare anajua hii ni nini.
Binadamu wanaozaliwa kipindi hiki hawana nafsi kwa sababu dunia kuanzia mwaka 2000 kulianza reincarnation of Souls za wafu wa miaka ya 1800-1900- mpaka mwanzoni mwa 1950 kumbuka kuwa nafsi ambazo zipo katika reincarnation cycle ni zile ambazo zilifeli mtihani wa maisha wakashindwa kufaulu mitihani yao ya maisha hivo inawabidi warudie mitihani yao ili waweze kuendelea mbele 5d au mbinguni.
Ninapo sema kila nafsi ina mtihani wa maisha mfano wake ni kama hivi unaweza kuta matatizo yako ni familia, kusalitiwa, roho mbaya, chuki, kukosa mke mume, kukosa true love au mahusiano, addiction ya madawa ya kulevya au ngono au urahibu wowote ule kwa kifupi mtihani wako wa maisha ili uwende mbinguni ni kile kitu kinachokutesa na kile kitu unachotamani kukiacha kakini huwezi. Kama Ukifabila kukamilisha hicho jua umefeli lazima urudi tena hapa duniani tena mpaka ufaulu.
Take notice kwamba hakuna dini wala maombi yatakayo kufanya uende mbinguni huo ni upigaji wa wanao mwabudu sun god au Black cube ( Saturn worship) huyu Saturn ndio Zohal mungu wa dunia hii au God of time yeye ndio mungu wa dini zote kubwa hapa duniani yeye ndio mkuu wa Matrix. God of many names. Yeye ndiye A kwa waislam na J kwa wakristo.
Kutokana na madhara makubwa ya biashara ya utumwa pamoja na vita vikuu vta dunia na machafuko roho nyingi za wanadamu ziliweza kuona ukatili mkubwa sana katika kipindi hicho na roho nyingi ilizo fia vitani au utumwani hazitaki kurudi tena duniani, ikapelekea hao watu waliofeli mitihani yao kuogopa kurudi duniani ili kurekebisha makosa yao hivyo wameamua kubaki 4d kama mizuka au nafsi za wafu na kutelekeza miili yao ambayo inazaliwa hapa duniani bila nafsi.
Baada ya kutelekeza miili yao watu wanazaliwa bila kujua wema au roho nzuri au kujali wengine.
Mtu ambaye hana nafsi atajijuaje mwenyewe au atajigundiaje? Hii ndio msingi wa mada yangu maelezo ya hapo juu ni kwa ajili ya kujenga hoja ili watu wangu waelewe nini chanzo.
Binadamu yoyote anakuwa na mwili na roho kwa kuwa na vitu hivo viwili anaweza kuonekana mkamilifu kwa kuwa anakula anakunywa na kuzungumza na anaweza hata kuzaa watoto lakini bado ndani ndani yake hajakamilika. Kwani kuna kitu kakosa ambacho ndio nakiweka bayana hapa.
Binadamu ambaye hana nafsi inamana kwenye akili au ufahamu wake hana ile internal dialog. Nikisema internal dialogue namaniaha kuwa kuna kile kisauti kipo kichwani kwako mfano ukiwa unatembea unafikiria uende wapi au ufanye nini au ukitaka kufanya kitu kibaya sauti hiyo inakupa onyo kwamba usifanye kitu hicho. Mfano ukiwa umelala au unataka kulala unaweza kuwa unawaza mawazo yako hata kama umewasha feni au redio unawaza japo kuwa kuna kelele mawazo yapo.
Mtu ambaye hana nafsi hawazi chochote isipokiwa kilichopo mbele yake wala hana utashi wa kutofautisha kati zuri na baya kwakuwa akili yake na mawazo yake yametulia muda wote huwa anakuwa na utashi wa kuwaza kitu kimoja tuu. Mfano kama anasoma hii mada atasoma tuu maandishi lakini hata waza kuwa ndani ya maandishi kuna nini au ujumbe gani. Mfano akiangalia sinema huwaza starehe ya kutazama bila kujua funzo la sinema hiyo ni nini.
Nafsi ndio operating system ya mwanadamu mtu ambaye hana nafsi anakuwa kama binadamu wa kawaida tofauti ni moja tuu hana hisia au sauti ya kumwonyesha kitu kizuri na kibaya. Anachoangalia ni jambo la kumfurahisha mwili wake na mahitaji ya kimwili tuu au kumridhisha yeye mwenyewe hawazi kuhusu wengine. Hana mahitaji ya kiroho kabisa.
Binadamu mwenye nafsi ni ngumu sana kufanya vitu kama meditation kwani mawazo yake hayapo tayari kusimamishwa ili kichwani kwake kubaki empty ili ufahamu wake uvamiwe na kiumbe kingine asicho kifahamu. Nilisha zungumzia mambo ya meditation kwenye mada ya New Age Religion.
Kwa wale wanaofanya meditation wanajua kuwa inabidi uweze kusimamisha mawazo yako yote usiweze kuwaza kitu chochote kitu ambacho ni kigumu sana kwa mtu mwenye nafsi hawezi kabisa kufanya meditation hata akijaribu ataishia kuwaza mambo yake au kupitiwa na usingizi. Mtu ambaye hana nafsi ni rahisi kufanya mesitation.
Vitu kama meditation ni hatari sana kwa mtu mwenye nafsi inaweza kusababusha ukawa kichaa kwakuruhusu ufahamu wako kuvamiwa na kiumbe usichokijua baada ya wewe ku shut down mawazo yako kichwani ukawa empty head. Ni sawa na kuingiza Virus katika mfumo wako.
Anyway kwa mtu ambaye amezaliwa hana nafsi ataishia kuwa mfuasi wa dark lord na mtu mwenye nafsi ataishia kuwa mfuasi wa Light. Mtu ambaye alikuwa na nafsi kisha akauza nafsi anaweza kuirudisha nafsi yake ila sio kwa maombi bali kwa nia yake ya dhati. Kiumbe aliyeuza nafsi anatawaliwa na asili ya hofu inabidi apambane nae as he walked in the valley of shadow of death and darkness he shall fear no evil.
Ni vigumu kuandika kila kitu hapa.
Reincrnation and past life read the book [emoji1313]View attachment 2040553
Nani amekwambia kama Nafsi ni Utashi ?Nimetoa mfano hapo roho ni uhai ambayo inaishi kwenye damu nafsi ni utashi unaoweza kukufanya kujitambua na kufanya maamuzi.
Kaka embu acha kutudanganya hv unajua maana ya meditation kwanza? Hv unajua ukiwa una sali au kuswali una meditate?Usijaribu jaribu tu yale mambo ni ya kichawi unaweza ukafa ukiwa hai kwa kujigeuza msukule! Wachawi hawana nafsi ndio maana kwao ni simple
Kaka ulipatwa na nn embu tuelezee?Baada ya kusoma ishu za meditation huku JamiiForums nikataka na mimi niijaribu.
Sitosahau ile siku, nilihisi kuchanganyikiwa kabisa na Ilinichukua karibu wiki moja kurudi kwenye hali yangu ya kawaida.
Bro hv unazungumzia meditation au astral projectionHahahahha hebu dadavua hapa maana wenyewe wanaitaga kusafiri[emoji28] af mie nahisi wanga ni meditators wazuri sana maana wanaacha vitanda wanaenda kuingia kwenye manyumba ya watu huko!
Hii chai mbona haina sukari na tangawizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni story ndefu kidogo lakini kwa kifupi tu ni kuwa nilikuwa nimejilaza kitandani mida ya 7 hivi usiku sina hata usingizi, ndio wazo la kifanya meditation likanijia.
Basi nikaanza ile process ya kuituliza akili, baada ya km dakika kumi hivi nikaanza kuhisi km nimepata huzuni kubwa ya ghafla( ile huzuni unayoipata baada yakupata taarifa kuwa ndugu yako wa karibu amefariki) na kitu km ganzi inapanda kutokea miguuni hadi kichwani na inavyopanda naisikia kabisa inavyopanda.
Nikaanza kupaona pale kitandani apalaliki tena, nikaona km nikishuka kitandani ndio nitapata unafuu, nikashuka kitandani nikawa nazunguka zunguka pale chumbani ila bado haikusaidia, nikahisi km nikitoka nje ndio nitakaa vizuri, nikatoka njee puuu puu km kichaaa lkn wapi amna unafuu ile ganzi bado naisikia na ile huzuni ya moyoni bado ipo nikaanza eti kukemea kwa jina la Yesu kwa jina la Yesu shindwa [emoji23][emoji23][emoji23] lkn bado; nikahisi labda nikitoka nje ya geti yaani nitoke barabarani kabisa labda ndio nitapoa, nikaanza safari ya kwenda getini lkn nikiwa naelekea getini likanijia wazo kuwa nikanywe maji ya baraka(catholic wanayajua), nikarudi ndani nikaenda kuyanywa, baada ya kuyanywa tu lile wenge la kukimbia kimbia likatulia ikabakia ile huzuni kubwa moyoni na ganzi mwilini ila sasa hivi ilipungua kidogo.
Usiku ule nilifanya au kuhisi vitu vizuri vizuri ili ile huzuni initoke lkn wapi, nikarudi kitandani kulala, kila nikijaribu kufunga jicho nilale naisikia ile ganzi inapanda kutoka miguuni hadi kichwa na km kuna nguvu fulani hivi zinanitoka mwilini, nikasema kwa hali hii nikilala tu nitafia usingizini nikawa najitahidi nisilale. Nikaja kupitiwa na usingizi saa 9 usiku na hata sikulala sana km nusu saa tu nikastuka yaani mwili wote umelowa jasho yaani hadi mashuka hayafai, nikaja kupata usingizi saa 12 kasoro asubuhi.
Ile hali ya huzuni na ganzi mwilini iliendelea kunitesa, yaani amna kitu chochote kilichokuwa kinanipa furaha hata nifanye nini yaani nikawa nahisi kufa kufa tu, nikisikia mtu kafariki nasema afadhali yake kafa kaenda kupumzika nakumbuka ilikuwa ni kipindi kile kingunge amefariki.
Nilikuwa najiepusha sana kukaa karibu na vitu km kisu au mapanga coz nilikuwa najua akili yangu haipo sawa na roho ya mauti ilivyokuwa inaniandama.
Ni vitu vingi vingi vilitokea ndani ya hiyo wiki moja ya huzuni na ganzi mwilini, kilichoniponya niliamua kutafuta faraja kwa kusoma Bible na niliikazia sana zaburi ya 26, niliisoma zaidi ya mara 10 kwa kuirudia rudia nikaanza kuona ile hali inaaondoka saa ile ile na niliweza kurudi kwa hali yangu ya kawaida.
Nakumbuka nilikuja kumuuliza Mshana Jr kuhusu kufanya meditation usiku mkali, akasema sio vizuri kuifanya mida hiyo coz usiku kuna maroho mengi machafu yanaranda randa hovyo.
MEDITATION SIO YA KUICHUKULIA KIRAHISI RAHISI KAMA TUNAVYODHANI
Abigail Nabal
kilwakivinje
Tuaumbie hiko kitu AMAZING,na utujulishe ulifanyajefanyaje kufanya iyo meditation huto pungukiwa na kitu mkuuFor my side nilifanya sio kujaribu meditation for the two weeks trust me ile hali niliyojisikia till now naitafuta "sijawahi jisikia vizuri katika maisha yangu kama kipindi icho nafanya meditation trust me kwanza inaongeza concentration kwa 100% yaani mfano ukienda kusali basi unakuta akili yako ime concentrate kwenye kusali tu yaani mpaka raha tofauti na siku za nyuma katikati ya sala unashangaa mawazo ya kijinga yanakuja pili,nilikuwa najihisi mwepesi sana in terma of mwili yaani hadi nilikuwa naona nyoya ni zito kwa kweli kwa bahati mbaya mambo yakaingiliana na tatu, nikaweza kucontrol hisia zangu kama vile hasira mpaka washkaji wakashangaa wakati mì ni mrahisi sana kukasirika na fourth kuna kitu kilinitokea kilikuwa very amazing yaani hichi siwezi waambia then till now naitafuta ile hali dah"
Siwezi mkuu kilinifanya niamini masuala ya dimension yapo kama vile higher dimension imagine unaona kitu unamuuliza mwwnzako umekiona kile kitu alafu anakuambia hajakionaTuaumbie hiko kitu AMAZING,na utujulishe ulifanyajefanyaje kufanya iyo meditation huto pungukiwa na kitu mkuu
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Exactly.....Christians tunaambiwa daily "Meditate on the Word of God day and night"Kaka embu acha kutudanganya hv unajua maana ya meditation kwanza? Hv unajua ukiwa una sali au kuswali una meditate?
Acha uongo broFor my side nilifanya sio kujaribu meditation for the two weeks trust me ile hali niliyojisikia till now naitafuta "sijawahi jisikia vizuri katika maisha yangu kama kipindi icho nafanya meditation trust me kwanza inaongeza concentration kwa 100% yaani mfano ukienda kusali basi unakuta akili yako ime concentrate kwenye kusali tu yaani mpaka raha tofauti na siku za nyuma katikati ya sala unashangaa mawazo ya kijinga yanakuja pili,nilikuwa najihisi mwepesi sana in terma of mwili yaani hadi nilikuwa naona nyoya ni zito kwa kweli kwa bahati mbaya mambo yakaingiliana na tatu, nikaweza kucontrol hisia zangu kama vile hasira mpaka washkaji wakashangaa wakati mì ni mrahisi sana kukasirika na fourth kuna kitu kilinitokea kilikuwa very amazing yaani hichi siwezi waambia then till now naitafuta ile hali dah"
Believe it or not that is your concern not mine.... mi nimetoa experience yangu trust me if you meditate on something like your fears unashangaa huogopi tena na pia inapelekea higher concentration mpaka kuna kipindi nikiwa nawaza mambo yangu nipo na washkaji unajikuta like upo peke yako hv yaani hata mambo waahkaji wanayoongelea tena kwa sauti huwasikii kabisaAcha uongo bro
Hiyo ilikuwa AstraNi story ndefu kidogo lakini kwa kifupi tu ni kuwa nilikuwa nimejilaza kitandani mida ya 7 hivi usiku sina hata usingizi, ndio wazo la kifanya meditation likanijia.
Basi nikaanza ile process ya kuituliza akili, baada ya km dakika kumi hivi nikaanza kuhisi km nimepata huzuni kubwa ya ghafla( ile huzuni unayoipata baada yakupata taarifa kuwa ndugu yako wa karibu amefariki) na kitu km ganzi inapanda kutokea miguuni hadi kichwani na inavyopanda naisikia kabisa inavyopanda.
Nikaanza kupaona pale kitandani apalaliki tena, nikaona km nikishuka kitandani ndio nitapata unafuu, nikashuka kitandani nikawa nazunguka zunguka pale chumbani ila bado haikusaidia, nikahisi km nikitoka nje ndio nitakaa vizuri, nikatoka njee puuu puu km kichaaa lkn wapi amna unafuu ile ganzi bado naisikia na ile huzuni ya moyoni bado ipo nikaanza eti kukemea kwa jina la Yesu kwa jina la Yesu shindwa [emoji23][emoji23][emoji23] lkn bado; nikahisi labda nikitoka nje ya geti yaani nitoke barabarani kabisa labda ndio nitapoa, nikaanza safari ya kwenda getini lkn nikiwa naelekea getini likanijia wazo kuwa nikanywe maji ya baraka(catholic wanayajua), nikarudi ndani nikaenda kuyanywa, baada ya kuyanywa tu lile wenge la kukimbia kimbia likatulia ikabakia ile huzuni kubwa moyoni na ganzi mwilini ila sasa hivi ilipungua kidogo.
Usiku ule nilifanya au kuhisi vitu vizuri vizuri ili ile huzuni initoke lkn wapi, nikarudi kitandani kulala, kila nikijaribu kufunga jicho nilale naisikia ile ganzi inapanda kutoka miguuni hadi kichwa na km kuna nguvu fulani hivi zinanitoka mwilini, nikasema kwa hali hii nikilala tu nitafia usingizini nikawa najitahidi nisilale. Nikaja kupitiwa na usingizi saa 9 usiku na hata sikulala sana km nusu saa tu nikastuka yaani mwili wote umelowa jasho yaani hadi mashuka hayafai, nikaja kupata usingizi saa 12 kasoro asubuhi.
Ile hali ya huzuni na ganzi mwilini iliendelea kunitesa, yaani amna kitu chochote kilichokuwa kinanipa furaha hata nifanye nini yaani nikawa nahisi kufa kufa tu, nikisikia mtu kafariki nasema afadhali yake kafa kaenda kupumzika nakumbuka ilikuwa ni kipindi kile kingunge amefariki.
Nilikuwa najiepusha sana kukaa karibu na vitu km kisu au mapanga coz nilikuwa najua akili yangu haipo sawa na roho ya mauti ilivyokuwa inaniandama.
Ni vitu vingi vingi vilitokea ndani ya hiyo wiki moja ya huzuni na ganzi mwilini, kilichoniponya niliamua kutafuta faraja kwa kusoma Bible na niliikazia sana zaburi ya 26, niliisoma zaidi ya mara 10 kwa kuirudia rudia nikaanza kuona ile hali inaaondoka saa ile ile na niliweza kurudi kwa hali yangu ya kawaida.
Nakumbuka nilikuja kumuuliza Mshana Jr kuhusu kufanya meditation usiku mkali, akasema sio vizuri kuifanya mida hiyo coz usiku kuna maroho mengi machafu yanaranda randa hovyo.
MEDITATION SIO YA KUICHUKULIA KIRAHISI RAHISI KAMA TUNAVYODHANI
Abigail Nabal
kilwakivinje
Huyo hajafanya meditationBelieve it or not that is your concern not mine.... mi nimetoa experience yangu trust me if you meditate on something like your fears unashangaa huogopi tena na pia inapelekea higher concentration mpaka kuna kipindi nikiwa nawaza mambo yangu nipo na washkaji unajikuta like upo peke yako hv yaani hata mambo waahkaji wanayoongelea tena kwa sauti huwasimii kabisa
Kabisa sijui alifanya nn mwenyewe isijekuwa alivuta bangi au kunywa pombe alafu ndo afanye meditation[emoji23][emoji23][emoji23]Huyo hajafanya meditation