Una uhakika mkuu?Karibu Afrika:
View attachment 2356855
Ngoma Iko hapo. Tunasumbuliwa na ujinga tu tokea juu hadi chini.
Kumbuka ushirikina haufanyi kazi benki au polisi.
Utajuaje sasa, si kifo cha kawaida?pia hatahivyo roho ambayo imekufa kabla ya muda huendelea kubaki duniani mpaka pale muda unapofika ndipo huenda juu mbinguni au kuzimu kusubiri ile siku ya hukumu ya haki
endapo mtu atakufa na ukawa unamuota muota sana ujue kuna jambo au kuitwa nae jambo lingine ni kuwa kuota unakutana na mtu mwenye kufanana naeUtajuaje sasa, si kifo cha kawaida?
Ukishagundua hivyo, unachuka hatua gani?endapo mtu atakufa na ukawa unamuota muota sana ujue kuna jambo au kuitwa nae jambo lingine ni kuwa kuota unakutana na mtu mwenye kufanana nae
Ushikina utakuta mavi, mate na kila aina ya uchafu. Kwasababu ya kuwa forced.. Ila kwa mapenzi ya Mungu mtu anakufa smooth 🤠🤠Katika jamii zetu, kumekuwa na mijadala ya hapa na pale, kuhusu vifo vya binadamu.
Kuna wengine watasema, huyu amekufa kutokana na mpango wa Mungu, na wengine watasema yule amekufa pasipo mpango wa Mungu (kishirikina).
Sasa wakuu, nataka kujua; Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu au kwa Ushirikina?
We mongoTambua wanaokufa kwa ushirikina ni Afrika tu. Siyo kwenye mabara mengine. Hapo ndipo pa kuanzia.
Kama aliugua ndani ya muda mfupi, hata wakifanya uchunguzi si watasema amekufa kwa ugonjwa?Utajua kwa kumpeleka hospital na kupimwa na kufanyiwa postmortem ili kubaini chanjo cha kifo
Kwa sisi waafrika ni ngumu kujua huyo kafa kwa njia gani maana utasikia tu watu wanalia na kugaragara nje kumbe wamemuua mzee usiku
Baada ya mda wanaanda mazishi na sisi tunajisogeza ila police na hospital hakuna anaejali
Nchi zingine mtu akifa tu unapiga simu police na Ambulance inakuja maiti inabebwa kuchunguzwa
Ingekuwa kwetu wengi sana waaliogawana mirathi wangeumbuka sana paka hao
Upo sawa mtu ajui kitu ni mweupe anajidai kujibuUna uhakika mkuu?
Tusiyo yajua tunyamaze tuwaachie wanao yajua.
Kama ni ugonjwa watasema na kama alinyongwa watamuona na kama kapewa sumu pia itajulikanaKama aliugua ndani ya muda mfupi, hata wakifanya uchunguzi si watasema amekufa kwa ugonjwa?
Ulishafanyia utafiti?Ushikina utakuta mavi, mate na kila aina ya uchafu. Kwasababu ya kuwa forced.. Ila kwa mapenzi ya Mungu mtu anakufa smooth 🤠🤠
Hakuna mtu anaefariki kwa mpango wa mungu wala kwa ushirikina.Katika jamii zetu, kumekuwa na mijadala ya hapa na pale, kuhusu vifo vya binadamu.
Kuna wengine watasema, huyu amekufa kutokana na mpango wa Mungu, na wengine watasema yule amekufa pasipo mpango wa Mungu (kishirikina).
Sasa wakuu, nataka kujua; Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu au kwa Ushirikina?
Uhakika hupatikana tokea kwenye udadavuzi thabiti.Una uhakika mkuu?
Tusiyo yajua tunyamaze tuwaachie wanao yajua.
We Jamaa ni mongo sana, wazungu Wana mavitabu kibao yanayozungumzia uchawi , Sasa we kutoka idugumbi unajidai mjuaji kausha mzee, wazungu Wana tatuu kibao za kujikinga na uchawiUhakika hupatikana tokea kwenye udadavuzi thabiti.
Jiulize kwanini haupo ushirikina Ulaya, Canada, Marekani au Japan huko ila dongo beshi?
Nikutoe shaka ndugu, kumbatia ushirikina kwa ujinga wako.
Habari ndiyo hiyo.
NdioUlishafanyia utafiti?
Mkuu, kitu gani kinachofanya nywele kuwa laini kwa maiti na kunyonyoka kirahisi? Kwa sababu kwa hali ya kawaida, nywele zinakuwa zimeshikana na kichwa na ningumu kunyonyoka.Swari nzuri,. Maiti ya kweli ukivuta nywele zake zinanyofoka kirahisi Yaani bends mpaka kwene kichwa cha marehemu then vuta nywele zake zitang'oka kirahisi kama unavyonyonyoa kiki, kinyume na hapo sio maiti ya kweli, Asante.
Ushirikina ungekuwapo, ungefanya kazi benki au polisi, kama unabagua maeneo ya kufanya kazi, ushirikina gani huo?Karibu Afrika:
View attachment 2356855
Ngoma Iko hapo. Tunasumbuliwa na ujinga tu tokea juu hadi chini.
Kumbuka ushirikina haufanyi kazi benki au polisi.