Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Hivyo tu?Kazi sana.
Kwani,tafsiri ya umalaya ni ipi hasa?Ukweli ni kwamba miaka hii mwanamke akishabikiriwa ujue ndiyo ameanza safari ya umalaya
Achana nayo!
Yanachosha akili sana!
Kama sio bikra usioe, kula pita hiviUkimkuta sio bikira hilo ni jibu tosha kuwa mwanamke uliye naye hajatulia ni malaya
Hili halihitaji mjadala wala kuandika uzi mrefu
Ukweli ni kwamba miaka hii binti akishabikiriwa ujue ndiyo ameanza safari ya umalaya iwe direct au indirect
Learn or perish
Wengi tumepitia utoto kama huo wako. Ukifikisha 35+ ndio utajikuta unawaza hivi kwenye ule Uzi niliandika Pumba kiasi gani?
Kama sio bikra usioe, kula pita hivi
Na utajuaje pia kwamba mwanaume ni mteja wa kahaba/anafanya mapenzi na kahaba?Ukimkuta sio bikira hilo ni jibu tosha kuwa mwanamke uliye naye hajatulia ni malaya
Hili halihitaji mjadala wala kuandika uzi mrefu
Ukweli ni kwamba miaka hii binti akishabikiriwa ujue ndiyo ameanza safari ya umalaya iwe direct au indirect
Learn or perish
Ukijua utafanya nini?
Teheeeeee put some respect to women and chill