Utajuaje kama mwanamke uliye naye ni kahaba?

Umetoka kwenye hoja zako unaanza kulazimisha. Mke wangu anaingiaje hapo?. Hakuna mahala nimekuambia nimeoa mke wa aina gani?. Hii tu inaonyesha jinsi akili zako kisoda. Nazungumzia in general hoja nzima. Nafikiri hata kubishana na wewe ni kupoteza muda ksbb akili zako zimejengwa kwa matofali mabichi
 
Definition yako imekaa poa sana mkuu.
 
Asante mkuu, tunawekana sawa, mtoa mada anaweza akajikuta dada zake wote ni makahaba kwa sababu walio waoa sio waliowatoa bikira, na anaweza kuwa ana hasira maana hajawahi kula mwenye bikira ni kuwa mpole tu
Wakati huo yeye mwenyewe anaweza kuwa malaya tu kwa sababu analala na wanawake tofauti.
 
Njia ya Cuba buongea yote..
Elewa neno...njia ya Cuba
 
Hapana , huu ni udhalilishaji.
Watoto wengi wana anza mapenzi form two kwenye nter-school debate, sports and disco/music.
Huwa wanajaribisha na ukumbuke hapo ndio wamevunja ungo, wanajaribisha tu.
Watoto wa kike SI MALAYA kama unavyotaka kuaminisha UMMA.
 
Wanawake wote ni makahaba mkuu. Hata huyo mke uliye naye ni kahaba mamboleo. Usimwamini mwanamke hata siku moja hata angekuwa mke wa askofu. Akili zao ni moja.
 
Kwenda, Tuache, Tunawapenda Malaya kwanza maana wanatupa sababu za ku enjoy mapenzi
 
Kuwa na Mpenzi asie na Chembe za Kahaba ni ushamba nakuhakikishia huto enjoy mapenzi.

Nyumba za ibada hao wake zenu wanafundishwa kuwa makahaba kwa waume zao.

Wewe hutaki kahaba, mwanamke mshamba bora niendelee na Shower gel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…