"History, Economics, sociology na anthropology"..Si hakima bali ni hekima.
Mwenye masikio na asikie.
Siwezi kubishana na mtu asiye na idea yeyote kuhusu history, economics, sociology na anthropology.
Ciao✌
Unaonekana una akili za darasani. Kila ukireply unaweka uanafunzi ndani sijui umegraduate lini. Hii ni virgin mind ambayo haijawahi fanya lolote, ushakariri PDF na mavitabu ya theories unakuja kutishia usalama watu.Lazma niwe mjuaji kwasababu ninajua haswa.
Wewe ardhi unayoiona haina thamani mwenzako anaitamani. Fungua akili acha kulegalega. Unataka kulimiwa shamba?
Unaelewa application ya history? Economics? Anthropology? Hujui. Hiki ndio ninachokiongelea hapa.
Au ulitaka nianze uzi na "Good morning class today I will teach you anthropology ..."
Changamka una mtandao, jifunze!
barabarani kuna ela tofauti na mashambani ambapo unafanya shuguli lakini possibility ya kutoboa ni ndogo.Utakuwa billionaire kwa kukaa barabarani?
😂😂😂😂😂😂
Labda kama una njia nyingine haramu ya kukuingizia kipato.
Tafuta shughuli rasmi ya kufanya yenye kukuingizia kipato. Nenda hata VETA.
Au unasubiria serikali ikulimie shamba?
Mwanangu wee:- You can't blame the past for today's value !!!Lack of exposure!! Hii ndo main point.
Lakini watu wana smartphone na wanamitandao. Wanashinda kwenye udaku. Hawawezi kujifunza? Kuna makala kibao, video kibao. Wanashindwaje kupata exposure?
Wanataka wabebwe?
Ndio. Si lazima mtu akae darasani apewe lecture ya haya masomo. Hata observation ya maisha ya kila siku na kupenda kujifunza mwenyewe inatosha kuyafahamu haya masomo. Haya ni majina tu lakini maarifa yaliyomo ndani yake ndio yanamsaidia mtu ku survive."History, Economics, sociology na anthropology"..
Inaonekana mtu akikosa hivi vitu kichwani anakuwa kama mtu asiejielewa mbele yako
Nina maarifa ya darasani na ya maisha pia. FYIUnaonekana una akili za darasani. Kila ukireply unaweka uanafunzi ndani sijui umegraduate lini. Hii ni virgin mind ambayo haijawahi fanya lolote, ushakariri PDF na mavitabu ya theories unakuja kutishia usalama watu.
Tuanze na wewe mkulima mkorofi. Unalima nini? Usikute ni wale wa Mr. Kuku mnaojiita "wawekezaji"
Ujumbe wangu unabaki palepale.Mwanangu wee:- You can't blame the past for today's value !!!
*huwezi kulaumu wamiliki wa vifaa vya kisasa na maisha yao...
Pia huwezi kutuaminisha eti viongozi wa zamani hawakumuelewa Mwl. JN...
Jee unajua au kufahamu sbb za waTZ kuwa na status hii waliyo???
Jee unaAmini Mwenyezz Mungu???
Anafahamu vizuri kinachoendelea na matokeo yake.Wewe unadhani jamaa ana ekspoz'a? Unaweza kusoma sana, ukasafiri sana lakini ukaikosa hiyo expoz'a. Binafsi namuona mshkaji hana expoz'a, ndio maana anaruhusu vitu vya ajabu vifanyike
Kupanda Tabaka!! Ni uwezo na upendo wa Mwenyezzi MUNGU tu..Ujumbe wangu unabaki palepale.
Ni rahisi kwa Mtanzania kupanda tabaka kuliko nchi nyingi sana duniani na hii ni kwasababu ya Nyerere. (Rejea Reagan alichowafanya Marekani na hali yao ilivyo sasa)
Anayezembea azembee.
We ukitaka kukaza kichwa kikaze tu.Wazazi wamelima kwa miaka 40 wamepata nini?
Barabarani ndiyo mpango mzima, na siyo lazama ukae miaka 90, hata mwaka tu unatosha kwenda next stage
Ni ya kweli uliyasema hapa na ni ya kweli pia niliyoyasema.Kupanda Tabaka!! Ni uwezo na upendo wa Mwenyezzi MUNGU tu..
ila..
Wapo waliyopanda kwa njia za Ufisadi!!
Kwa nja za Dhulma!! Kwa njia za unyanganyi udanganyifu nk, nk nk... Hatimae haidumu na mwisho ni Jahanamu..
Tazama marejeo na matukio na historia..
Umeona, alianza kutafta mtaji huko mjini wa kununua nyenzo za kilimo alipoupata akarudi shambani.Lack of exposure ni tatizo kubwa kwa Watanzania. Niliangalia documentary ya Mghana alikwenda kutafuta maisha Ulaya, alizamia meli akaishia Italy. Alipata kazi kwenye mashamba ya nyanya.
Alibeba idea ile ya kilimo, alipotoboa alikwenda Ujerumani, alinunua matrekta na lorry. Amerudi Ghana sasa hivi anafanya commercial farming ya nyanya.
GT huyo usimchukulie kimasiharaNdio. Kwasababu umezoea kuliwa kimasihara
Ndio hoja zenu tushawazoea.GT huyo usimchukulie kimasihara
Bibie hivi umeshaishi kijijini? Au nyie ndo kina junior hamtaki tubanane hiko mijini?
Unajuaje akiwa na madodoki yake barabarani na Kule kijijini hawekezi?
Kuna watu wanawekeza vijijini sio huko town mnapowakuta na madodoki.
Ndo maana mkuu naona unachukulia mashara sana lyf la mtu kama ule Uzi.
Tafakari sentence yake sio hasira.
Kingine maisha ya mtu ni ya mtu yaache kaja mwenyew ataondoka mwenyew.
Kikubwa tu analipa Kodi.
Dah! Mkuu sio kwa hii shit, naona kama ungekua Israeli mtoa roho sasa hivi mtu angekua amesha rest in peaceUnajua kilimo cha mkono mjinga wewe kinavo umiza ,au unalopoka umekaa kwenye kiti cha kuzunga tu ..??
Unajua hali ya kijijin ilivo ngumu mpumbavu mkubwa wewe ,mwaka mzima unalima maharage ili upate laki tatu can you imagine ,!!
Ardhi ipo ndio sasa tutalimia meno kenge wewe,umeshawaza soko lilivogumu pimbi mkubwa wewe .!
Aisee nataman nikufate hapo nikufitksvgxlnnsabndnsjnsdhxkskanbxkmkdbms
Kuddddddke umeajiriwa unajiona umeyapatia maisha kunguni mkubwa kammnmmmmmmkee