Utakaa barabarani mpaka ufikishe miaka 90?

Utakaa barabarani mpaka ufikishe miaka 90?

Lazma niwe mjuaji kwasababu ninajua haswa.
Wewe ardhi unayoiona haina thamani mwenzako anaitamani. Fungua akili acha kulegalega. Unataka kulimiwa shamba?
Unaelewa application ya history? Economics? Anthropology? Hujui. Hiki ndio ninachokiongelea hapa.
Au ulitaka nianze uzi na "Good morning class today I will teach you anthropology ..."
Changamka una mtandao, jifunze!
Unaonekana una akili za darasani. Kila ukireply unaweka uanafunzi ndani sijui umegraduate lini. Hii ni virgin mind ambayo haijawahi fanya lolote, ushakariri PDF na mavitabu ya theories unakuja kutishia usalama watu.

Tuanze na wewe mkulima mkorofi. Unalima nini? Usikute ni wale wa Mr. Kuku mnaojiita "wawekezaji"
 
Utakuwa billionaire kwa kukaa barabarani?
😂😂😂😂😂😂
Labda kama una njia nyingine haramu ya kukuingizia kipato.
Tafuta shughuli rasmi ya kufanya yenye kukuingizia kipato. Nenda hata VETA.
Au unasubiria serikali ikulimie shamba?
barabarani kuna ela tofauti na mashambani ambapo unafanya shuguli lakini possibility ya kutoboa ni ndogo.
Tatizo lilopo kwa wafabiashara wengi wadogowadogo hawana elimu ya biashara pia wengi wana single source of income na faida anayoipata ndio inaenda kutatua mahitaji yake binafsi badala ya kuiwekeza kwenye miradi mingine au kufanya ikakuze biashara anayoifanya.
Lakini hapo barabarani kuna watu wanatengeneza hadi sh 30000 per day
Kitu nachokiona labda serikali ingejaribu kufanya hawa wafanya biashara walioingia kabisa barabarani waondolewe na wale walio kando ya barabarani wajenge vibanda simple ila vinavyovutia tofauti na sasa utakuta huyu kaweka tundubai, yule banda LA mbao mwigine magunia, hivyo ndio inajenga taswira ya uchafu.
Kama serikali ikiwa na ubunifu vikajengwa vibanda simple vyenye muonekano mzuri pia itakua ni sehemu ya kupendezasha miji yetu lakini itatoa fursa ya watu kufanya biashara na serikali itakusanya ushuru.
Mwisho kabisa sio lazima wote tulime wengine wamezaliwa kua wafanyabiashara ndio mahana wanakimbia vijijini kuja kufanya biashara mkuu.
 
Lack of exposure!! Hii ndo main point.
Lakini watu wana smartphone na wanamitandao. Wanashinda kwenye udaku. Hawawezi kujifunza? Kuna makala kibao, video kibao. Wanashindwaje kupata exposure?
Wanataka wabebwe?
Mwanangu wee:- You can't blame the past for today's value !!!
*huwezi kulaumu wamiliki wa vifaa vya kisasa na maisha yao...
Pia huwezi kutuaminisha eti viongozi wa zamani hawakumuelewa Mwl. JN...
Jee unajua au kufahamu sbb za waTZ kuwa na status hii waliyo???
Jee unaAmini Mwenyezz Mungu???
 
"History, Economics, sociology na anthropology"..
Inaonekana mtu akikosa hivi vitu kichwani anakuwa kama mtu asiejielewa mbele yako
Ndio. Si lazima mtu akae darasani apewe lecture ya haya masomo. Hata observation ya maisha ya kila siku na kupenda kujifunza mwenyewe inatosha kuyafahamu haya masomo. Haya ni majina tu lakini maarifa yaliyomo ndani yake ndio yanamsaidia mtu ku survive.
 
Wazazi wamelima kwa miaka 40 wamepata nini?
Barabarani ndiyo mpango mzima, na siyo lazama ukae miaka 90, hata mwaka tu unatosha kwenda next stage
 
Unaonekana una akili za darasani. Kila ukireply unaweka uanafunzi ndani sijui umegraduate lini. Hii ni virgin mind ambayo haijawahi fanya lolote, ushakariri PDF na mavitabu ya theories unakuja kutishia usalama watu.

Tuanze na wewe mkulima mkorofi. Unalima nini? Usikute ni wale wa Mr. Kuku mnaojiita "wawekezaji"
Nina maarifa ya darasani na ya maisha pia. FYI
Unasubiria usikie zao fulani lina trend na wewe uunge mkumbo ukalilime?
Acha uvivu hangaisha akili yako au unadhani akili zinatumika tu shuleni?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mwanangu wee:- You can't blame the past for today's value !!!
*huwezi kulaumu wamiliki wa vifaa vya kisasa na maisha yao...
Pia huwezi kutuaminisha eti viongozi wa zamani hawakumuelewa Mwl. JN...
Jee unajua au kufahamu sbb za waTZ kuwa na status hii waliyo???
Jee unaAmini Mwenyezz Mungu???
Ujumbe wangu unabaki palepale.
Ni rahisi kwa Mtanzania kupanda tabaka kuliko nchi nyingi sana duniani na hii ni kwasababu ya Nyerere. (Rejea Reagan alichowafanya Marekani na hali yao ilivyo sasa)
Anayezembea azembee.
 
Wewe unadhani jamaa ana ekspoz'a? Unaweza kusoma sana, ukasafiri sana lakini ukaikosa hiyo expoz'a. Binafsi namuona mshkaji hana expoz'a, ndio maana anaruhusu vitu vya ajabu vifanyike
Anafahamu vizuri kinachoendelea na matokeo yake.
Anawafahamu Watanzania walivyo na wasivyopenda kuambiwa ukweli.
We unahisi angeongea haya niliyoyasema hapa watu wangefurahi? Angepata kura?
 
Ujumbe wangu unabaki palepale.
Ni rahisi kwa Mtanzania kupanda tabaka kuliko nchi nyingi sana duniani na hii ni kwasababu ya Nyerere. (Rejea Reagan alichowafanya Marekani na hali yao ilivyo sasa)
Anayezembea azembee.
Kupanda Tabaka!! Ni uwezo na upendo wa Mwenyezzi MUNGU tu..
ila..
Wapo waliyopanda kwa njia za Ufisadi!!
Kwa nja za Dhulma!! Kwa njia za unyanganyi udanganyifu nk, nk nk... Hatimae haidumu na mwisho ni Jahanamu..
Tazama marejeo na matukio na historia..
 
Wazazi wamelima kwa miaka 40 wamepata nini?
Barabarani ndiyo mpango mzima, na siyo lazama ukae miaka 90, hata mwaka tu unatosha kwenda next stage
We ukitaka kukaza kichwa kikaze tu.
Ukweli utabaki palepale. Kama unahisi kuna short cut kwenye maisha utashangaa sana.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kupanda Tabaka!! Ni uwezo na upendo wa Mwenyezzi MUNGU tu..
ila..
Wapo waliyopanda kwa njia za Ufisadi!!
Kwa nja za Dhulma!! Kwa njia za unyanganyi udanganyifu nk, nk nk... Hatimae haidumu na mwisho ni Jahanamu..
Tazama marejeo na matukio na historia..
Ni ya kweli uliyasema hapa na ni ya kweli pia niliyoyasema.
 
Lack of exposure ni tatizo kubwa kwa Watanzania. Niliangalia documentary ya Mghana alikwenda kutafuta maisha Ulaya, alizamia meli akaishia Italy. Alipata kazi kwenye mashamba ya nyanya.

Alibeba idea ile ya kilimo, alipotoboa alikwenda Ujerumani, alinunua matrekta na lorry. Amerudi Ghana sasa hivi anafanya commercial farming ya nyanya.
Umeona, alianza kutafta mtaji huko mjini wa kununua nyenzo za kilimo alipoupata akarudi shambani.
Masanja alikuja mjini akaanza uza mitumba na kuchekesha akapata mtaji akawekeza kwenye kilimo shambani.
Shida ni kwamba siyo kila anayekuja mjini kutafuta mtaji anafanikiwa.
 
Ndio. Kwasababu umezoea kuliwa kimasihara
GT huyo usimchukulie kimasihara

Bibie hivi umeshaishi kijijini? Au nyie ndo kina junior hamtaki tubanane hiko mijini?
Unajuaje akiwa na madodoki yake barabarani na Kule kijijini hawekezi?
Kuna watu wanawekeza vijijini sio huko town mnapowakuta na madodoki.

Ndo maana mkuu naona unachukulia mashara sana lyf la mtu kama ule Uzi.

Tafakari sentence yake sio hasira.

Kingine maisha ya mtu ni ya mtu yaache kaja mwenyew ataondoka mwenyew.

Kikubwa tu analipa Kodi.
 
Ndio hoja zenu tushawazoea.
Nimesema nilichosema, ukitaka kukaza kichwa kaza.
Kila mtu na maisha yake, ni kweli. Ndio maana nimesema mwenye masikio na asikie.
Ukweli utabaki palepale hata ujidanganye vipi.
 
Unajua kilimo cha mkono mjinga wewe kinavo umiza ,au unalopoka umekaa kwenye kiti cha kuzunga tu ..??

Unajua hali ya kijijin ilivo ngumu mpumbavu mkubwa wewe ,mwaka mzima unalima maharage ili upate laki tatu can you imagine ,!!

Ardhi ipo ndio sasa tutalimia meno kenge wewe,umeshawaza soko lilivogumu pimbi mkubwa wewe .!

Aisee nataman nikufate hapo nikufitksvgxlnnsabndnsjnsdhxkskanbxkmkdbms

Kuddddddke umeajiriwa unajiona umeyapatia maisha kunguni mkubwa kammnmmmmmmkee
 
Dah! Mkuu sio kwa hii shit, naona kama ungekua Israeli mtoa roho sasa hivi mtu angekua amesha rest in peace
 
Ardhi inahitaji maarifa ambao ni ugonjwa wa watanzania ardhi haitaji mtaji ardhi inajitosheleza inahitaji nguvu zako tu.
 
Umenena vema sana chief hakika umefikirisha ubongo,,uwezi kumlazimisha mtu aelewe ila mwenye macho kaona na mwenye akili kaeleea [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom