Utakapo kufa leo unadhani members wenzako wa jf watajua au ndio ile fulani mbona haonekani hewani?

Utakapo kufa leo unadhani members wenzako wa jf watajua au ndio ile fulani mbona haonekani hewani?

Sijuani na mtu yeyote yule wala sihitaji kujuana na mtu yeyote yule,

Nikifa ndio imetoka hiyo coz watu wajue kua nimedead au wasijue haitakua na faida yeyote ile kwangu.
Ni sahihi lakini, kuna raha fulani kujua mwamba The Icebreaker hatupo naye tena, kama vile ambavyo tulijua kupitia Mshana Jr kwenye uzi wake mmoja kuwa flani na flani hatupo nao tena
 
Hakuna hata mmoja kwani mashikaji zangu wa Jf ni wachache tubaishia kuchat Wasap kuongea na normal call ila hatujuani kuindani
Though huwa mnawasiliana,basi watajua iwapo simu yako itaendelea kuwa hewani kama mimi nilivyojua baada ya simu ya mama yule kuendelea kuwa hewani
 
Back
Top Bottom