Utakapo kufa leo unadhani members wenzako wa jf watajua au ndio ile fulani mbona haonekani hewani?

Utakapo kufa leo unadhani members wenzako wa jf watajua au ndio ile fulani mbona haonekani hewani?

Kuna sehemu moja huwa napita, kwa wanaopajua mtendeni zenji; kwenye kile kinjia wanaouza maredio na tv kuna lodge pale.
Sasa kuna mzee mmoja ilikuwa kila nikipita jioni namkuta amekaa mlangoni na gongo lake nafikiri alikuwa na matatizo ya miguu,.

Kwa sasa ni kama miezi kadhaa imepita kila nikipita simkuti, sasa sijui amedanja ama vipi, natamani kuuliza wale ninaowakuta ila sina mazoea nao.
 
Yani kuna watu hata kama wameshakufa ila still wanatafuta huruma huko Duniani,

Ukifa ndio imetoka,watu wajue au wasijue haibadili kitu wala haiongezi kitu.

Haibadili kitu . Ni kweli.

But Binadam ana heshima yake.
Ni muhim watu kujua. Ili kutoa Last respect. Na sio kutafuta huruma.

Paying tribute is indeed the ultimate form of Respecting Human Life.
 
Haibadili kitu . Ni kweli.

But Binadam ana heshima yake.
Ni muhim watu kujua. Ili kutoa Last respect. Na sio kutafuta huruma.

Paying tribute is indeed the ultimate form of Respecting Human Life.
Kutoa last respect kwa mtu ambaye hata hamjuani na wala hujui anakaa wapi? How?

Last respect inamsaidia nini marehemu?

Ukifa kitakachokusaidia ni yale matendo yako mema tu wakati wa uhai wako (Kwa wenye kuamini imani za dini)
 
Kutokana na habari hii mtu mwenye nia njema ya urafiki tukutane PM hii ipo kweli baada ya kusikia kaka JIMSON KIBIKI alipigwa risasi pale JULIANA PUB mnamo 2021 na siku napata habari hiyo ni baada ya kwenda kwake kwa lengo la kumjulia hali.niliumisa sana.Kaka alikuwa ni mmoja wa wakubwa wa RAMBOinDAR na tulipendana sana as family.its one of my pain forever.
 
Back
Top Bottom