Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
AiseeSugua mtura wako utakate!
AiseeSugua mtura wako utakate!
Mke sio kitu cha kuvunja urafiki kabisaNa mkitombeana wake huo ushoga wenu usife
Kutoa last respect kwa mtu ambaye hata hamjuani na wala hujui anakaa wapi? How?
Last respect inamsaidia nini marehemu?
Ukifa kitakachokusaidia ni yale matendo yako mema tu wakati wa uhai wako (Kwa wenye kuamini imani za dini)
Eeh hasa room nisipopatikanaNiwaambie mods wakupe RIP
Kwanza nimependa upo tayar kupambana kwa kazi yoyote pamoja na usomi wako,ni mtazamo mzuri sana,kwani siku zote mwanzo ni mgumu sana,halafu baadae unabadilikia juu kwa juuMkuu kabla sijajibu
Samahani lakini.
Naomba connection ya kazi
Elimu Degree
Nina kila kitu mpaka barua ya utambulisho nipo tayari kuanza leo kesho kazi ya nguvu ama sio ya nguvu
Skilled au sio skilled
Isiwe mambo ya zege
Kuhusu ndgu humu jf daah wa kwanza kabisa ni ndgu yangu Vishu Mtata
Kwanza nimependa upo tayar kupambana kwa kazi yoyote pamoja na usomi wako,ni mtazamo mzuri sana,kwani siku zote mwanzo ni mgumu sana,halafu baadae unabadilikia juu kwa juuMkuu kabla sijajibu
Samahani lakini.
Naomba connection ya kazi
Elimu Degree
Nina kila kitu mpaka barua ya utambulisho nipo tayari kuanza leo kesho kazi ya nguvu ama sio ya nguvu
Skilled au sio skilled
Isiwe mambo ya zege
Kuhusu ndgu humu jf daah wa kwanza kabisa ni ndgu yangu Vishu Mtata
Sema kweliNina washikaji zangu kibao humu Jf, daily story hadi kutembeleana makazini na homez tumekuwa kama family kabisa
Ayatollah wa JF nikifariki lazima alama/kiboksi
cha PM kitashushwa chini ya screen kwa siku saba kwa heshima, na hapo ndo mtatambua kuwa secretarybird ni mfu.
Asante sana mkuu.Nimeipenda hii,heshima kwako homie
Moderators wana automatic R.I.PNianze kwa habari hii, kuna mama mmoja alikuwa pale TRA tawi la Kinondoni,alikuwa mama poa sana,ukienda pale kufanya makadirio huwa anakupa ushirikiano mzur sana na mwisho wa siku mambo yanakuwa sawa.
Kama Miaka miwili au mitatu iliyopita nilimtafuta kwenye call kutaka kumuuliza jambo fulani,nikavuta waya mara paap! Inasikika sauti ya kiume na kunipa taarifa kwamba mama fulani amefariki kwa Kansa ya damu,duh nilihuzunika sana kwakweli.
Sasa je wewe ukivuta chaap! Je kuna mdau wowote wa jf ambaye anaweza sema wadau Ertugrul bey hatupo naye tena!!!
Kwa upande wangu nina best yangu wa kike humu ambaye ndiye pekee nina mawasiliano naye,huwa tunatafutana ingawa sio mara kwa mara lakini ni washikaji,naamini siku akivuta waya kunicheki akiambiwa huyu mwamba ametangulia akhera naamini atawapa habari,lau katangulia yeye siku nikavuta waya ntaambiwa best yako is no more alive,ntaweka ubaoni tangazo,though namtakia umri mrefu zaidi yeye pamoja na mimi
Best yangu mshikaji wangu wa nguvu najua ukisoma post hii utajua nakuzungumzia wewe,nakupenda sana mtu wangu.
Vipi kuhusu wewe?
Ni hayo tu!
99% ya jukwaa jukwaa hali ni hiyo.Mimi nikifa ni kimya kimya hakuna anayenijua