Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
- #101
Daaah inasikitisha sanaa 😭,Ni ngumu.
Ila kuna Tangazo la kifo lilinihuzunisha sana. Ila niliona ni sahihi .
Imagine unafungua whatsapp status. Unakutana na ujumbe unaosema "mwenye namba hii amefariki dunia. Jana jion , msiba uko ..... "
Nilishtuka na kufedheheka sana.
Taarifa za msiba hazijawah kuwa jambo rahisi kupokelewa. 😢😢😢😢😢
Uwache tu JF on bila Lock. Kuna namna ujumbe unaweza kufika JF kupitia sim na akaunt yako.
Si mpaka wajue kuwa umekufa ndio wanaweka Lebo paleModerators wana automatic R.I.P
Ndugu yetu Muimba SINGELI sijui alipatwa na nini, natumai atakuwa yupo vizuri tunitawatangazia mnichangie hela ya Rambi rambi
Aina noma kaka nitahakikisha hiloEeh hasa room nisipopatikana
Mungu amlinde huko alipo 🙏Ndugu yetu Muimba SINGELI sijui alipatwa na nini, natumai atakuwa yupo vizuri tu
Sugua mkebo wako utakate!
Kanianza huyu🤭Ukipigwa hatukusaidii! 😊
Nakutumia barua ya udhamini hapo chapMkuu kabla sijajibu
Samahani lakini.
Naomba connection ya kazi
Elimu Degree
Nina kila kitu mpaka barua ya utambulisho nipo tayari kuanza leo kesho kazi ya nguvu ama sio ya nguvu
Skilled au sio skilled
Isiwe mambo ya zege
Kuhusu ndgu humu jf daah wa kwanza kabisa ni ndgu yangu Vishu Mtata
😂😂😂😂😂🙏🙏🙏 Vishu weww ujawahi kukua kabisa..Nakutumia barua ya udhamini hapo chap
Kwani wewe ni mmama? Kafie mbali uone kama tutahuzunika.Nianze kwa habari hii, kuna mama mmoja alikuwa pale TRA tawi la Kinondoni,alikuwa mama poa sana,ukienda pale kufanya makadirio huwa anakupa ushirikiano mzur sana na mwisho wa siku mambo yanakuwa sawa.
Kama Miaka miwili au mitatu iliyopita nilimtafuta kwenye call kutaka kumuuliza jambo fulani,nikavuta waya mara paap! Inasikika sauti ya kiume na kunipa taarifa kwamba mama fulani amefariki kwa Kansa ya damu,duh nilihuzunika sana kwakweli.
Sasa je wewe ukivuta chaap! Je kuna mdau wowote wa jf ambaye anaweza sema wadau Ertugrul bey hatupo naye tena!!!
Kwa upande wangu nina best yangu wa kike humu ambaye ndiye pekee nina mawasiliano naye,huwa tunatafutana ingawa sio mara kwa mara lakini ni washikaji,naamini siku akivuta waya kunicheki akiambiwa huyu mwamba ametangulia akhera naamini atawapa habari,lau katangulia yeye siku nikavuta waya ntaambiwa best yako is no more alive,ntaweka ubaoni tangazo,though namtakia umri mrefu zaidi yeye pamoja na mimi
Best yangu mshikaji wangu wa nguvu najua ukisoma post hii utajua nakuzungumzia wewe,nakupenda sana mtu wangu.
Vipi kuhusu wewe?
Ni hayo tu!
Cheki PM hapo, barua nilishatuma kitambo😂😂😂😂😂🙏🙏🙏 Vishu weww ujawahi kukua kabisa..
Umegoma