The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Umejenga nao bond kwa hii ID yako au una ID nyingine? Coz hii ID yako ina kama mwezi mmoja tu hapa JF.Yah! Tumejenga bond za kifamilia humu humu jf mkuu, tuna ile zaidi ya ndugu wa karibu. Imekutanisha humu na familia ambayo nimeishakuwa nayo kwenye mabonde na milima
Ni sahihi lakini, kuna raha fulani kujua mwamba The Icebreaker hatupo naye tena, kama vile ambavyo tulijua kupitia Mshana Jr kwenye uzi wake mmoja kuwa flani na flani hatupo nao tenaSijuani na mtu yeyote yule wala sihitaji kujuana na mtu yeyote yule,
Nikifa ndio imetoka hiyo coz watu wajue kua nimedead au wasijue haitakua na faida yeyote ile kwangu.
For sure, sawa kabisaNtarudi kuwapa update
Yani kujua fulani kafariki wewe inakupa "raha fulani?"Ni sahihi lakini, kuna raha fulani kujua mwamba The Icebreaker hatupo naye tena, kama vile ambavyo tulijua kupitia Mshana Jr kwenye uzi wake mmoja kuwa flani na flani hatupo nao tena
Makachero wa jf kwenye moja na mbiliUmejenga nao bond kwa hii ID yako au una ID nyingine? Coz hii ID yako ina kama mwezi mmoja tu hapa JF.
Kifo ni kifo tuSijuani na mtu yeyote yule wala sihitaji kujuana na mtu yeyote yule,
Nikifa ndio imetoka hiyo coz watu wajue kua nimedead au wasijue haitakua na faida yeyote ile kwangu.
Sio ile raha ya kwamba fulani kafa,la hasha,ni ile kujua mwenetu walau tumejua hayupo hewani kwakuwa hayupo tena dunianiYani kujua fulani kafariki wewe inakupa "raha fulani?"
Au sijakuelewa?
Kwanini unaona kua kuna umuhimu wa kua na hiyo circle humu JF?Kuna umuhimu wa kuwa na walau circle humu mjini JF
Swali muhimu sanaUmejenga nao bond kwa hii ID yako au una ID nyingine? Coz hii ID yako ina kama mwezi mmoja tu hapa JF.
Unaonaje ukaanza ukaribu na mm ili ukifa nilete taarifa humu? πMimi Binafsi ndiyo itakuwa imeisha hiyo ππ
Hapa mnaweza mkacheza dili la kutangaza kifo kumbe mmejifungia lodgeSeran akifa nitalia Sana aisee, ntawatangazia ili japo mshiriki mazishi kwa kuchanga rambirambi Ila msije Kwenye mazishi yake π
Niamini mm mkuu, Siwez Kufanya hvy πHapa mnaweza mkacheza dili la kutangaza kifo kumbe mmejifungia lodge
Though huwa mnawasiliana,basi watajua iwapo simu yako itaendelea kuwa hewani kama mimi nilivyojua baada ya simu ya mama yule kuendelea kuwa hewaniHakuna hata mmoja kwani mashikaji zangu wa Jf ni wachache tubaishia kuchat Wasap kuongea na normal call ila hatujuani kuindani