Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

Sasa ulichongea sindio mleta mada ameongea
 
 
 
Pesa chafu NI Ile unayoshindwa kutoa maelezo ya kibiashara na kikodi ulivyoipata...inawezekana kwa mikopo umiza au magendo au uhalifu wowote...so unatafuta Aina ya biashara unajifanya kuwa imekuwa na inaendelea kuzalisha fedha kwa kuiingiza kwenye acc ya biashara ukifanya kwamba NI mauzo halali...watu wengi walishauriwa fedha zao kununua mashamba na kukodisha wakulima na kujifanya NI wao waliolima na kuvuna mapesa mengi...wengine walinyanganywa baada ya kushindwa kuzitolea maelezo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…