Utakatishaji pesa siku hizi unafanyika hadharani mbele ya vyombo vya habari

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
5,315
Reaction score
13,269
Hii harambe ya CCM kuna harufu ya utakatishaji fedha

TAKUKURU wafanye kazi yao
 
Hii harambe ya CCM kuna harufu ya utakatishaji fedha

TAKUKURU wafanye kazi yao
Bora ungekaa kimya TAKUKURU wafanye kazi gani sasa hapo wakati wao wenyewe wala rushwa namba 1 nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…