Utake usitake: Tundu Lissu atahutubia Taifa tarehe 12 Februari 2025

Aliibwaga imani yako dhidi ya mzee Mbowe.Lissu ni mnoma sana.
mbona nakufikiriaga kama mtu mwenye mawazo ya kuona things in their right perspective! Right from the inception of uchaguzi, nilionya kuhusu Lisu aina ya kampeni anazozifanya! CHARACTER ASSASSINATION! Hakuna issue ya kubwaga imani hapa. And I am sure Lisu is going to fail!
 

Attachments

Siyo kila muda uwe serious.Kuna muda nakuwa nimevuta bangi.
 
Kuna mtu aliandika humu kuwa Lisu hawezi hudhuria msiba ana masharti ya waganga wake wa kienyeji
Hakuna kiongozi wa CHADEMA anaytegemea ushirikina. Hayo yapo CCM tu, Chama Cha Mahetani na Majini.
 
Onesha grafu ilivyokaa kuhusu hiyo heshima.
IT WAS VERY BAD, VERY BAD! KAMA MTU AMEKULEA TOKA "UTOTO WA SIASA", UKAPATA UMAARUFU, AKASHIKA ROHO YAO WAKATI UMEPIGWA RISASI, NA BILA MAAMUZI YAKO KUWA UPELEKWE NAIROBI NA SI MUHIMBILI, UNGELIKUWA MAITI. BADO UNAMBAGAZA MTU KAMA HUYO...KWELI HAWA WATANZANIA USIOWAJUA SURA ZAO UTAWAFANYIA LOLOTE!

LISU IS NO LONGER MY FAVORITE POLITICIAN AS HE WAS LAST YEAR!
 
Acha porojo ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…