Utalaumu sana wengine kwa kushindwa kwako ila tabia yako pia kuna namna inakukwamisha

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
471
Reaction score
1,217
Tabia ni sumaku inayovuta mambo yanayoendana na tabia yako ilivyo, kuna matukio unayapata wewe kwa sababu tabia yako inayavutia hivyo ili yasije basi kubadili tabia kuna kuhusu.

Unaweza kubadili mazingira mpaka marafiki ila matokeo yakawa yale yale hapo fikiria sana tabia yako

Unaweza kulalamika kila siku kuwa ulipo hapafai ila ukihamia kwingine bado mambo ni yale yale hapo rudi kuangalia tabia yako.

Unaweza kuona kuwa watu ndio wanakuzuia ila ukiamgalia hata kabla hujakutana na hao marafiki bado tu mambo yako yalikuwa hayaendi hapo chunguza tabia yako

Tabia mtu anahama nayo ndio maana popote utapoenda kama sio tabia nzuri basi utaendelea kukwama tu mpaka ubadilike.

Mahusiano ni changamoto kwa wote ila kuna wengine ugumu ni zaidi kutokana na tabia zao zilivyo.

Kabla hujatupia lawama wengine kwa kushindwa kwako chunguza pia tabia yako na fanyia kazi
 
Watu wengi hawataki kuwa accountable kwa tabia zao, haswa ngozi nyeusi. Watasingiza mtu , kitu, au watu
 
Tabia ni sumaku inayovuta mambo yanayoendana na tabia yako ilivyo, kuna matukio unayapata wewe kwa sababu tabia yako inayavutia hivyo ili yasije basi kubadili tabia kuna kuhusu.

Unaweza kubadili mazingira mpaka marafiki ila matokeo yakawa yale yale hapo fikiria sana tabia yako

Unaweza kulalamika kila siku kuwa ulipo hapafai ila ukihamia kwingine bado mambo ni yale yale hapo rudi kuangalia tabia yako.

Unaweza kuona kuwa watu ndio wanakuzuia ila ukiamgalia hata kabla hujakutana na hao marafiki bado tu mambo yako yalikuwa hayaendi hapo chunguza tabia yako

Tabia mtu anahama nayo ndio maana popote utapoenda kama sio tabia nzuri basi utaendelea kukwama tu mpaka ubadilike.

Mahusiano ni changamoto kwa wote ila kuna wengine ugumu ni zaidi kutokana na tabia zao zilivyo.

Kabla hujatupia lawama wengine kwa kushindwa kwako chunguza pia tabia yako na fanyia kazi
Ndiyo maana hata mtu akifa wengi hatukubali kwamba ndiyo mwisho wake, lazima utasikia karogwa na kuanza kutafuta mchawi na kuharibu kabisa mahusiano ya familia na jamii.
Tuache tabia chonganishi kwa kweli.
 
Back
Top Bottom