Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Wameenda wapi?Sishabikii mbuga ila natoa taarifa kuwa Simba walikuwepo kabla ya barabara za Muleba Biharamulo na Muleba Chato kuwekwa lami. Wanaoifahamu barabara ya Muleba Biharamulo kuna mlima unaitwa mlima wa Simba.
Hawajui chochote ndg Sina imani Kama haya maamzi yamefanywa na wahifadhi nahisi watakuwa wanasiasa.Sio uchawi ni ukweli, angalia maeneo yenye idadi kubwa ya simba nchini, ni uwanda wa wazi. Hata uwabebe uwapeleke wapi, kama wako huru wataondoka tu na kurudi savannah, wakiwa njiani wataua mifugo ya watu pengine pamoja na watu.
HhahhahhahNa bado..tutahamisha mpaka wamasai
Simba hawakai porini, wanapendelea savannah, wataondoka tu huko burigi.
Sishabikii mbuga ila natoa taarifa kuwa Simba walikuwepo kabla ya barabara za Muleba Biharamulo na Muleba Chato kuwekwa lami. Wanaoifahamu barabara ya Muleba Biharamulo kuna mlima unaitwa mlima wa Simba.
Ni evolving story tu, habari inaanzia hapa hao Simba walipotokea.
Hao wanao wapeleka huko ni wataalamu wa wanyama nina imani wanajua wanachokifanya.Na hawa wenye uzoefu wa kuvamia makazi ya watu ni obvious kuwa hawataacha hiyo tabia yao!
Uhifadhi hauhitaji siasa za kishamba!
Mifano ipo wazi! Wataalamu waliwahi kuwapeleka wanyamapori hifadhi ya kisiwa cha Rubondo huko huko Geita... Mpaka sasa idadi ya wanyamapori waliobaki haijulikani...Hao wanao wapeleka huko ni wataalamu wa wanyama nina imani wanajua wanachokifanya.
Ninachojua mimi hao samba wataenda kufa huko, na wakifa hatutaambiwa, na ukihoji kufa kwao utaambiwa mchochezi na utabambikwa kesi ya utakatishaji fedhaJumla ya Simba 17 wamehamishiwa katika hifadhi ya taifa ya Burigi huko Chato ikiwa ni hatua ya kuimarisha vivutio vya utalii Kanda ya Magharibi.
Simba hao wamepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Gaguti ambaye amewataka wananchi wa maeneo hayo wawe wakarimu wakati wa kuwapokea na kuwahudumia watalii.
Source: ITV habari!
Chato haiwezi kuwa na mvuto hata kwa cosmetics!!
Binafsi mimi sielewi aina ya viongozi tulionao kwa sasa na uwezo wao kifikra wa kushauri, hapa watakuwa wamepokea maelekezo au maagizo kutoka kwa meko na wao wakatekeleza bila kuhoji, hao samba sijui kama wataweza kuishi huko.Na huko watawamaliza Sokwe wote wa Mlima virunga!
Simba Hawaii kwenye Misitu minene kama ya Biharamulo, Gombe au Virunga. Wanaishi sehemu zenye mvua chache, nyasi ndefu na vichaka vya hapa na pale.
Sasa Burigi Chato itakuwaje? ....Mungu tupe Maarifa zaidi ya Matamanio ya mioyo yetu.
Mbona Nairobi itakuwa mtoto sana kwa Chattle. Sema itakuwa kama New York.Acha uchawi bwashee!
Ninachojua mimi hao samba wataenda kufa huko, na wakifa hatutaambiwa, na ukihoji kufa kwao utaambiwa mchochezi na utabambikwa kesi ya utakatishaji fedha
Dah, mkuu umeongea kwa uchungu sana.Na huko watawamaliza Sokwe wote wa Mlima virunga!
Simba Hawaii kwenye Misitu minene kama ya Biharamulo, Gombe au Virunga. Wanaishi sehemu zenye mvua chache, nyasi ndefu na vichaka vya hapa na pale.
Sasa Burigi Chato itakuwaje? ....Mungu tupe Maarifa zaidi ya Matamanio ya mioyo yetu.
Kwa kawaida simba hukaa sehemu yenye chakuka ambacho ni wanyama. Mapori yote hayo likiwemo pori la Moyowosi miaka ya nyuma lilijaa simba ambao walikuwa wanavamia wafugaji na kuua ng'ombe na mbuzi, kilichowahamisha ni uwindaji haramu!.Sishabikii mbuga ila natoa taarifa kuwa Simba walikuwepo kabla ya barabara za Muleba Biharamulo na Muleba Chato kuwekwa lami. Wanaoifahamu barabara ya Muleba Biharamulo kuna mlima unaitwa mlima wa Simba.