Mtwara maji ya bomba masafi kulikoMtwara ndio naonaga wanauza ivyo yanapita magari yale ya ndanda water wanauza unawekewa kwenye tank lako ila nitafanya ivyo now
wewe nunua water dispenser,na madumu 2,kila ukimaliza unachemsha maji na unajaza hizo chupa za dispenser,mambo supaHivi ni mimi tu naona haya au
Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda
Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi
Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro
Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa maji ya kununua ya carton wakat zamani tulikuwa tunakunywa ya bomba maji ya chupa ukinywa wewe tajiri
No kuna kampuni kama uhai wao ndio wanauza maji kwa njia iyo ya kunywa inaitwa ndandaMtwara maji ya bomba masafi kuliko Huai.
Nimeichukua hiiwewe nunua water dispenser,na madumu 2,kila ukimaliza unachemsha maji na unajaza hizo chupa za dispenser,mambo supa
Nimesoma pale kuanzia 1999 hadi 2005. Huo wimbo uliletwa miaka ya 80's, kipindi hiko ndiyo wakisoma ma-bro.Kumbee nikikutajia jina utanijua ππ kwhy umekaa chuno sana
Mkuu unaishi Mtwara ipi, maana maji ya Mtuwasa hayatamaniki.Mtwara maji ya bomba masafi kuliko Huai.
Shangani west uko kote mitaa af nilikuwa nasali uko sema jina la mzee ni famousNimesoma pale kuanzia 1999 hadi 2005. Huo wimbo uliletwa miaka ya 80's, kipindi hiko ndiyo wakisoma ma-bro.
Kukufahamu labda itokee tu kwamba ulikuwa famous, maana mimi nikikaa Shangani.
Bado upo mtwara kumbeeMkuu unaishi Mtwara ipi, maana maji ya Mtuwasa hayatamaniki.
Nimemix na Lindi sijui. Nilienda once uko tukawa tunakunywa direct bombani.Mkuu unaishi Mtwara ipi, maana maji ya Mtuwasa hayatamaniki.
Na ukayapenda maji yakee?Nimemix na Lindi sijui. Nilienda once uko tukawa tunakunywa direct bombani.
Tulikua site, ile kiu ata mkojo wa punda ningekunywa.Na ukayapenda maji yakee?
Mfuniko upo na kuna namna ya kuyafanyia treatment ili wadudu wasiwepo njia maarufu ni kutumia Chumvi ya MaweWadudu wanaingia na vumbi juu
πππ pole ase yana chumviTulikua site, ile kiu ata mkojo wa punda ningekunywa.
Sasa sindo yale yale unakuwa unakunywa maji ya chumvi af maji ya mvua bati linakutu vumbi uchafu mwingi tu so ni ngumu kuondoaMfuniko upo na kuna namna ya kuyafanyia treatment ili wadudu wasiwepo njia maarufu ni kutumia Chumvi ya Mawe
Mkuu kwani nimekuambia nina gari hapo au nimekuambia naweka kwenye gari hivi wewe ukipanda hizi basi za mwendo kaso inakua ya kwako au ukitumia gari la usajili unaso anza na SU: inakua yako acha kunipamba umri wangu haujafikia kumiliki gari langu binafsi.Sidhani kama bila hii mada ya maji tungejua kama watu mna magari
shukranNimeichukua hii
πππ anasema una mazda x 5Mkuu kwani nimekuambia nina gari hapo au nimekuambia naweka kwenye gari hivi wewe ukipenda hiZi basi za mwendo kaso inakua ya kwako au ukitumi gari y SU: ni yako acha kunipamba umri wangu haujafikia kimiliki gari yangu binafsi.
Mkuu mtu kasema siwezi kumiliki gari ananijua sanaa kwanini nijipandishe kuanza kuanika magari ninao miliki? Ligi ya nini buana?[emoji23][emoji23][emoji23] anasema una mazda x 5
Kwwli kabisa sema wengine ivyo vitu hawanaMkuu mtu kasema siwezi kumiliki gari ananijua sanaa kwanini nijipandishe kuanza kuanika magari ninao miliki? Ligi ya nini buana?
Polee Mkuu.πππ nafwata mkumbo