Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Nimefanya makusudii maana Kuna rafiki yangu mmoja uki isema mbagala vibaya anakasirika πβΊοΈMbagara= mbagala?
Nitafika tuTabaka la chini kati lakini unatamani kuwa la juu japo hujafika
Ila wewe now umekua jeuriNimefanya makusudii maana Kuna rafiki yangu mmoja uki isema mbagala vibaya anakasirika πβΊοΈ
Ni MBAGARAAA= MBAGALA π€£π€£π€£ππ
Mkuu funga RO System nyumbani.Hivi ni mimi tu naona haya au
Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda
Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi
Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro
Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa maji ya kununua ya carton wakat zamani tulikuwa tunakunywa ya bomba maji ya chupa ukinywa wewe tajiri
InauzwajeMkuu funga RO System nyumbani.
Maji ya DAWASA hayana garantii ya kuwa salam
Maji ya chupa utapeli mtupu, wengi wana ghushi, lakini maji ni ya bomba au visima visyo na uhakiki.
Kuna magonjwa mengi ya tumbo sasa hivi, hata ukiumwa hujui umepataje ugonjwa.
RO System huchuja maji ya kunya kikamilifu.
Mimi nimefunga nyumbani.
View attachment 3389265
NAKAZIA sio MBAGARAMbagara= mbagala?
Laki 6 hadi 8.Inauzwaje
Hiyo nzuriiiLaki 6 hadi 8.
Unakuwa na uhakika wa maji mazuri, tena matamu.
Kwa hizi small systems unapata maji si chini la lita 4-10 kwa siku, kwa kunywa tu.
Hapana,Ila wewe now umekua jeuri
Sawa bhna ila sikuiz ata salamu sio kama zaman poa tuHapana,
MBAGARAAA nilienda wiki mbili zilizo pita nikashangaa tepo wachache kituoni Ila wakaanza kuparulana mpaka kupigana vikumbo, wamama na vichanga mgongoni Sasa wakaingia wotee π€£π€£ SITI ZIKABAKIA WALINISHANGAZA SANA HAWA WATU WA MBAGARAAA
Jambo alikuwa anatafuta soko tuMAJI MAZURI KULIKO YOYE TANZANIA AMBAYO HADI TBS WALIDHIBITHISHA HIVYO NI MAJI YA JAMBO.kama Hadi TBS walithibitisha kuwa maji hayo ni Bora kuliko maji mengine yeyote Tanzania,Sasa wewe unasubiri Nini kununua maji ya jambo?
Sio ivyo wewe ni rafiki mzuriiii Sanaa kwangu tupo pamoja ukija dar this time usiache kuni cheki tupo pamojaa sawaSawa bhna ila sikuiz ata salamu sio kama zaman poa tu
DASANI PIA YAPO VIZURI SANA PIA HATA BEI IPO JUU.Jambo alikuwa anatafuta soko tu
Gharama yake ikoje?Mkuu funga RO System nyumbani.
Maji ya DAWASA hayana garantii ya kuwa salam
Maji ya chupa utapeli mtupu, wengi wana ghushi, lakini maji ni ya bomba au visima visyo na uhakiki.
Kuna magonjwa mengi ya tumbo sasa hivi, hata ukiumwa hujui umepataje ugonjwa.
RO System huchuja maji ya kunya kikamilifu.
Mimi nimefunga nyumbani.
View attachment 3389265
soonSio ivyo wewe ni rafiki mzuriiii Sanaa kwangu tupo pamoja ukija dar this time usiache kuni cheki tupo pamojaa sawa
utakuwa na mimba...mimba yako ndio inapoteza radha halisiHivi ni mimi tu naona haya au
Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda
Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi
Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro
Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa maji ya kununua ya carton wakat zamani tulikuwa tunakunywa ya bomba maji ya chupa ukinywa wewe tajiri
utakuwa na mimba...mimba yako ndio inapoteza radha halisi
Nayo mabaya pia muuzaji mvivu wa kulimaUmeshawahi jaribu maji ya kuitwa PANGANI...? ππ