Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

BTW unaposema unapata ''homa'' una maana gani? Kwa sababu homa maana yake ni joto la mwili kupanda na kuisikia kuumwa na pia baridi. Nauliza kwa sababu kuna makabila mengine kuumwa kokote huwa wanaita ni homa.
Ndiyo napata ubaridi na joto la mwili kupanda,

Mara ya kwanza nilikuwa nikilala hata chini ya feni sina shida, hata maji nikinywa

Sasa nikatoka dsm nikaenda home kurudi yaani feni inipuulize tuu aseeh naona km baridii Kali na kutetemeka,

Maji nayo hivyo hivyo hasa ya baridii ko selewii hiyo mechanism
 
Zikichachamaa bila antibiotic sitoboi. Napata homa kali. Hata nikikaa sehemu kuna baridi kama sijajikoki mpaka shingoni lazima nizipate. Mikoa yenye baridi sio rafiki kwangu.
Halafu ni ya kurithi hii. Nimeirithi na nimerithisha.
 
Boil your water [emoji98] achani kuiga vitu vingine, mimi asubhi na miminia maji yangu in cooling jug na kuweka kwenye gari mpaka kazini.
Mm napenda ya mvua sana ,,nikija kuvuta pira ntakua nayachemsha naweka kwenye friji natembea nayo
 
Zikichachamaa bila antibiotic sitoboi. Napata homa kali. Hata nikikaa sehemu kuna baridi kama sijajikoki mpaka shingoni lazima nizipate. Mikoa yenye baridi sio rafiki kwangu.
Halafu ni ya kurithi hii. Nimeirithi na nimerithisha.
Kwa nini hukuzitoa? Na mimi nilipokuwa mdogo zilikuwa zinanisumbua sana sana. Ila baada ya kukua zimeacha. Wangangu bado wadogo ndiyo walisumbuliwa kama mimi daktari akashauri tukazitoa.
 
Kwa nini hukuzitoa? Na mimi nilipokuwa mdogo zilikuwa zinanisumbua sana sana. Ila baada ya kukua zimeacha. Wangangu bado wadogo ndiyo walisumbuliwa kama mimi daktari akashauri tukazitoa.
Naogopa kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…