Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

Shangani west uko kote mitaa af nilikuwa nasali uko sema jina la mzee ni famous
Yes, ile mitaa inakaribiana sana kiasi mtu ukiwa famous tegemea kujulikana kuanzia Chuno, Shangani, hadi Kiyangu kule.
 
Nimemix na Lindi sijui. Nilienda once uko tukawa tunakunywa direct bombani.
Hata Lindi mjini sidhani kama maji yao ni mazuri. Mtwara wanaokunywa maji mazuri ni wale wakazi wa Ndanda.
 
Kwa wakazi wa mwanza huwa kuna maji ya breweries ni salama.
Unqchukua madumu yako unajaza maji
 
Mkuu nunua water dispenser weka ndani nunua kisima wawekee hapo
Bado hujatatua tatizo, kuna kubadilisha filter mara kwa mara kama maji ya kisima ndio kabisaa filter ya hiyo water dispenser lazima utabadili kila siku, au la ukubali kunywa uchafu.
 
Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa maji ya kununua ya carton wakat zamani tulikuwa tunakunywa ya bomba maji ya chupa ukinywa wewe tajiri
Kumbe huu ni utamaduni? Mbona wengine tunakunywa ya bomba siku zote hayo ya chupa tunakutana nayo barabarani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…