white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Tofauti ndio hiyo niliyokueleza kwanini hawa wanajiita wakili msomi!!ni kwamba amesomea sheria na kufauru!!au labda kwako neno wakili unalielewa vipi?kwani sio kila mwanasheria ni wakili msomi,ila kila wakili msomi ni mwanasheria.Kaka mada yangu iko wazi,nawazungumzia mawakala wa sheria,tena sheria za ki sekula (secular).
Hao wa misitu na hao wengine hapa hawahusiki. Kwahiyo jikite katika kile kilichokusudiwa na mada.
Unahitaji vipimo gani?
Shahada ya sheria ina mkusanyiko wa taaluma za nyanja zote za maisha. NAMAANISHA NYANJA ZOTE ZA MAISHA. ZOTE KABISA.
Kwanini wasiwe wasomi sasa!!
Unaelewa nini kuhusu neno "MSOMI"?
Ulitaka wasijiite wasomi?Vipimo ulivyo tumia kusema ya kuwa mwenye shahada ya sheria ni sawa na yule mwenye Pa proffesion nyingine.
Kwahiyo hao wengine sio wasomi sio ?
Unajua mimi sijakataa kama sio wasomi,nina jua kabisa wao ni wasomi katika fani yao ya sheria wala si wasomi katika fani nyingine.
Tatizo ni sababu zipi zinafanya wao wajitambulishe kwa "Wakili Msomi" ?
Tofauti ndio hiyo niliyokueleza kwanini hawa wanajiita wakili msomi!!ni kwamba amesomea sheria na kufauru!!au labda kwako neno wakili unalielewa vipi?kwani sio kila mwanasheria ni wakili msomi,ila kila wakili msomi ni mwanasheria.
Ulitaka wasijiite wasomi?
Wao ni wasomi ndio maana wanajiita wasomi.
Ni kipi ambacho wanakosea?
Wakili ni wakala wa sheria. Hata hivyo tamko hili "Wakili" linatakiwa kudurusiwa upya..![/QUOTE
kwa kukusaidia hebu tafuta huu uzi humu kwani ulishajadiliwa sana huko nyuma!!na muafaka ukapatikana,mimi ligi za hivyo siziwezi mkuu!!Wakili ni wakala wa sheria. Hata hivyo tamko hili "Wakili" linatakiwa kudurusiwa upya..!
Linatumka vizuri kabisa, kimsingi hilo neno linatumika kwa wanataaluma kwenye kada ya sheria, awe jaji ataitwa jaji msomi yaani learned judge, awe wakili basi ataitwa learned counsel/ advocate, awe mwanasheria naye ataitwa learned lawyer.
Hizo ni mbwembwe za Watanzania hasa wafuasi wa vyama vyetu vya siasa wa kuwaita mawakili wasomi bila kujua maana ya hilo neno ndiyo maàna nimeleta hii thread tujadili na tuache matumizi ya neno wakili msomi sababu halina maana yoyote kutumika nje ya mahakama. Hata hawa mawakili wetu humu wanajuaSwali ni, kuna judge, lawyer. advocate ambaye si msomi? Acheni mbwembwe!
Tukisema doctor msomi,bwana mifugo msomi,dereva msomi,mwalimu msomi,engineer msomi,afisa mtendaji msomi,weo msomi,nesi msomi .tutafika kweli?
Ifike mahali tusema ni wakili ikifuatiwe na majina yake hayo mambo ya kusoma na usomi tutayajua kupitia either kushinda au kushindwa kesi