mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
sioni kama kuna usomi wowote zaidi ya proffession nyingine.Hata Mimi huwa sielewi kwa nini wakili msomi, kwani kuna mawakili ambayo sio wasomi? Na huko kwa wenzetu huwa wanajiita hivyo wakili msomi?
Kwel mkuu sijui Ndo huwa wanajipa kiki na fani zao za kidwanzi na mikelele mingi,najaribu kuwaza, nini kiliwapelekea wanasheria/mawakili kujiita "wakili msomi" huku wasomi wa taaluma nyingine huwa hawana kasumba hii.
kwa mtazamo wangu Engineers,Madoctor,Waalimu ndio walipaswa kujiita wasomi. Maana mwanadamu yoyote anaweza kujiwekea sheria. Naamini hata wakina mkwawa walikuwa na sheria zilizokuwa hazihitaji ubobezi wowote.
mtazamo tu
waje watusaidie mkuuUnakejeli wakat hujui kwann wanajiita hivyo
Ndugu, mawakili wote ni wasomi. Hakuna wakili ambae sio msomi. Vilevile hata wanasheria wa serikali, mahakimu na majaji ni wasomi pia.Kila siku utasikia tu ' Watangazaji ' wa Vyombo vya Habari mbalimbali na hata Watu wengine wakisema ' Kesi hii itasimamiwa au inasimamiwa na Wakili Msomi ...... ' na sasa imekuwa ni lugha inayozoeleka katika masikio yetu Sisi ' Bush Lawyers '
Naomba kuuliza je ina maana kumbe kuna Wakili Msomi na Wakili asiyesoma? Nini kinafanya mmoja kuitwa Wakili Msomi? Mfano utasikia Wakili Msomi Revocatus Kuuli au Wakili Msome George Msemwa. Sasa kama Wote wamesoma LLB au LLM na pengine hata ' Kufaulu ' kila kitu kwanini wengine waitwe Mawakili Wasomi na wengine hawaitwi hivyo?
Wanasheria mliojazana humu JF tafadhalini hebu mtusaidie katika hili kiukweli ' mnatuchanganya '.
Nawasilisha.

Kiingereza wanajiita "learned brothers & sisters"mi huwa naonaga nu mbwembwe tu
kwani kwa lugha au tamaduni ya ki ingereza au kifaransa kuna neno lolote linalo imply wakili msomi?
na hisi ni wabongo tu kupenda ku extend mambo
Kumbe mkuu kuna other times wanaitwaga mawakili wasomi sio[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sometimes ni mbwembwe tu hiyo inakuwa kuonesha ubobezi