Utamfanyaje mwanamke anayekuambia ana mimba wakati hana?

Utamfanyaje mwanamke anayekuambia ana mimba wakati hana?

Omary - Msamalia

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2020
Posts
2,079
Reaction score
4,521
Wadau maoni muhimu, imagine umekuwa ukiamini unahudumia mimba yako. Kila siku unatoa pesa ya matumizi hadi bajeti za vifaa vya kujifungulia, halafu mwisho wa siku unakuja kuambiwa mimba haikuwepo
 
Fafanua Vizuri Hujaeleweka ****** Mwisho Timua Huyo Kazidi Ujanjaujanja
 
Hapo umepigwa na kitu kizito kichwani na unaamua kuzimia mwenyewe ukiamka unapukusa matako na kusonga mbele kwa mwendo wa kasi
Nilichofanyiwa nitoe Rai kwa wanaume wenzangu never trust a woman, sometimes they can exploit you.... Yaani Kila siku alikuwa anambia ana kichefu chefu ana hamu ya piza sijui samaki sijui biryani... Na nilivokuwa nimeoza natuma Hela 😂😂😂
 
Uswahili uswahili tu kila mahali hata wewe ulikuwa unaiba vyake uwe mpole tu
Kuna mbinu za wizi nyingi afrika kuliko sehemu nyingine zote duniani [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom