Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Maisha mafupi hayaWewe ni kaka au dada una mtoto wako wa kiume 20’s anafanya kazi na anaishi kwake (amepanga) lakini unaona anatumia pesa nyingi ku spend na madem na starehe mbalimbali, je utamshauri nini au utamuacha
Sio wivu sasa kama ni mtu wangu wa karibu nimuache tuhAcha wivu mtoa mada,tafuta ela
Dah hilo nalo neno nitajaribu kumshauri awe makini kwenye upande huoJiandae kumuuguza mengine mwachie mwenyewe
Wanatiaga huruma sana mkuu unakaza mwishowe unamsaidiaMwache aendelee na uwekezaji kaka.... Time Dume ikifika haina kusogeleana.
Hakikisha ukimpa msaada anakuwa kaungua vya kutosha.Wanatiaga huruma sana mkuu unakaza mwishowe unamsaidia
Kwahyo ajifanyie atakavyoMaisha mafupi haya
Hahaha mkuu damu nzito kuliko maji lakiniHakikisha ukimpa msaada anakuwa kaungua vya kutosha.
Siku hiyo Kamanda ongeza maji yawe mengi.Hahaha mkuu damu nzito kuliko maji lakini
Ms aizi Yuko wapi ?unamuonya, halafu unamuacha....
ni juu yake
maswali gani haya DullyMs aizi Yuko wapi ?
Kwa kwwli mkuu hayo pia maamuzi sahihiunamuonya, halafu unamuacha....
ni juu yake
ngoja tuone mwisho wakeSiku hiyo Kamanda ongeza maji yawe mengi.
Shule lazima ije na maumivu.
Ushauri wako muhimu mkuu wew ni mwalimuAnaspend na madem NI SAWA KABISA
😃😃Ushauri wako muhimu mkuu wew ni mwalimu
Mimi sijawahi kuwa Muis_..maswali gani haya Dully
Yaaahh ilimradi havunji sheriaKwahyo ajifanyie atakavyo
Sawa mkuuYaaahh ilimradi havunji sheria