Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana mimi nikiwa la4 nilikuwa nauwezo wa kuchunga ng'ombe 200+ huwezi elewa kwa sasa maana hakuna maeneo ya kuchungia. miaka ya 98 ng'ombe unawapeleka machungani wewe unarudi nyumbani kwana hakuna mashamba ya chakula cha watu ni pori tu tulichokuwa tunahofia ni kupoteza mifugo lakini si kulisha kwenye mashamba ya watu.😂😂😂😂😂😂😂😂😂
"Nilikuwa na uwezo wa kuchunga ng'ombe 1000 mimi mwenyewe"