Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Kwa nini upige chini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini upige chini?
Safi zmekamilikaAnakuwa na sifa hizi:-
Ongezeni na zingine wakuu...
- Anakuwa mnyenyekevu
- Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi, kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole
- Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako
- Atakuwa anakuja mara kwa mara kukufanyia usafi, kupika n.k
- Anakuwa na mawazo ya maisha ya mbeleni
- Ukitaka kumtoa 'out' haji na wenzake, anakuja mwenyewe
- Anakuwa hana makundi
- Atapenda akufahamu zaidi kwa mazingira ya kukudadisi
- Atakuwa anakuhimiza kwenda kusali nyumba za ibada kwa siku husika
- Atapenda kukufariji pale unapokuwa na msongo wa mawazo
- Hana matumizi ya anasa,n.k
Pipi kifua ila jf tunajifunza mengi
Na kwanini utake mwenye Sifa zote hizo lakiniSubiri sasa aingie ghetto, utaomba poo!
Pipi kifua ina nini tena khaaSisi wa mujini ndo tunawapenda hao slay queens. Nikaoe kijijini anajua matumizi ya pipi kifua kweli kunako faragha? Nyie jamaa acheni utani nyie.
pipi kifua ina nini tena khaa
Kwakweli hawa wa kwa mwamposa nitasubiri sana mkuu.Tafuta slay queen akufungulie dunia yako mkuu haya mambo huwezi yapata kwa pisi za Ileje.
kwakweli hawa wa kwa mwamposa nitasubiri sana mkuu.
Unamzalisha asubuhi na mchana ziwa likilala hana ujanja hapo we ushajizeekea unasubiri upigwe stroke ufeWa kijijini ukimleta mjini, naye si anaweza kubadilika
Awe makini asije uziwa mbuzi kwenye guniaJamaa anataka ajichanganye then atafute mchawi
Ina maajabu kuna mada ililetwa humu ya pipi kifua.pipi kifua ina nini tena khaaina
Ukijamba mbele yake atakwambia "bebi pole, vipi umeumiaa!!???"Anakuwa na sifa hizi:-
Ongezeni na zingine wakuu...
- Anakuwa mnyenyekevu
- Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi, kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole
- Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako
- Atakuwa anakuja mara kwa mara kukufanyia usafi, kupika n.k
- Anakuwa na mawazo ya maisha ya mbeleni
- Ukitaka kumtoa 'out' haji na wenzake, anakuja mwenyewe
- Anakuwa hana makundi
- Atapenda akufahamu zaidi kwa mazingira ya kukudadisi
- Atakuwa anakuhimiza kwenda kusali nyumba za ibada kwa siku husika
- Atapenda kukufariji pale unapokuwa na msongo wa mawazo
- Hana matumizi ya anasa,n.k
Hahahahahahahah wewe jamaa ni mjanja mno. You are very tricky!Unamzalisha asubuhi na mchana ziwa likilala hana ujanja hapo we ushajizeekea unasubiri upigwe stroke ufe
Nilitegemea comment yenye nguvu kama hii...Wengine wanaigiza ili ufuate taratibu zote umuweke ndani kisha yajayo ..........
Tahadhari na umakini ni muhimu sana
"Nikusaidieje" by Prof Jay & FeroozKasikilize nyimbo ya profe J zubeda
Karma is a bitch!Halafu utampata mwenye sifa zote hizo na bado utamsaliti au utamuacha
By the way hayuko mwanamke mwenye sifa zote hizo duniani sijui kwanini wanaume mnatakaga wanawake wakamilifu wakati hata ninyi wenyewe mna mapugufu yenu
Kosea kujenga utavunja na kurekebisha lakini ukikosea kuoa ni majuto makubwa sana ambayo hayaponyeki kirahisi na hata yakipona kovu lake huwa halifutiki daima.Nilitegemea comment yenye nguvu kama hii...
Thread ifungwe tu make ushamaliza kila kitu.