Utamtambuaje mwanamke anayetaka ndoa?

Utamtambuaje mwanamke anayetaka ndoa?

15668 Tigo inakuletea hadithi mpya ya NDANI YA NDOA, NJE YA NDOA. Jiunge leo BURE kwa kutuma HADITHI 15A kwenda 15668, Siku ya 2 kutozwa Tsh 150/siku au piga 090166xxxxxx
 
Kosea kujenga utavunja na kurekebisha lakini ukikosea kuoa ni majuto makubwa sana ambayo hayaponyeki kirahisi na hata yakipona kovu lake huwa halifutiki daima.

Nimejifunza hii kupitia kwa kaka yangu mkubwa katika familia yetu
Ilikuwaje Mkuu, tupe hints angalau tujifunze kupitia kaka yako
 
Anakuwa na sifa hizi:-
  • Anakuwa mnyenyekevu
  • Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi, kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole
  • Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako
  • Atakuwa anakuja mara kwa mara kukufanyia usafi, kupika n.k
  • Anakuwa na mawazo ya maisha ya mbeleni
  • Ukitaka kumtoa 'out' haji na wenzake, anakuja mwenyewe
  • Anakuwa hana makundi
  • Atapenda akufahamu zaidi kwa mazingira ya kukudadisi
  • Atakuwa anakuhimiza kwenda kusali nyumba za ibada kwa siku husika
  • Atapenda kukufariji pale unapokuwa na msongo wa mawazo
  • Hana matumizi ya anasa,n.k
Ongezeni na zingine wakuu...
Daah nikipata mwenye tabia hizi , naoa
Mungu nijalie nipate mwanamke mwema angalau atakayekua ananisikiliza
 
Anakuwa na sifa hizi:-
  • Anakuwa mnyenyekevu
  • Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi, kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole
  • Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako
  • Atakuwa anakuja mara kwa mara kukufanyia usafi, kupika n.k
  • Anakuwa na mawazo ya maisha ya mbeleni
  • Ukitaka kumtoa 'out' haji na wenzake, anakuja mwenyewe
  • Anakuwa hana makundi
  • Atapenda akufahamu zaidi kwa mazingira ya kukudadisi
  • Atakuwa anakuhimiza kwenda kusali nyumba za ibada kwa siku husika
  • Atapenda kukufariji pale unapokuwa na msongo wa mawazo
  • Hana matumizi ya anasa,n.k
Ongezeni na zingine wakuu...
oooh shit
Kitaa kuna kichuguu jirani maji nitakusaidia njoo utengeneze wa hivyo bila hivyo ni maumivu tu
 
Anakuwa na sifa hizi:-
  • Anakuwa mnyenyekevu
  • Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi, kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole
  • Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako
  • Atakuwa anakuja mara kwa mara kukufanyia usafi, kupika n.k
  • Anakuwa na mawazo ya maisha ya mbeleni
  • Ukitaka kumtoa 'out' haji na wenzake, anakuja mwenyewe
  • Anakuwa hana makundi
  • Atapenda akufahamu zaidi kwa mazingira ya kukudadisi
  • Atakuwa anakuhimiza kwenda kusali nyumba za ibada kwa siku husika
  • Atapenda kukufariji pale unapokuwa na msongo wa mawazo
  • Hana matumizi ya anasa,n.k
Ongezeni na zingine wakuu...
Awe na bikra au Bikra sio muhimu ?
 
Back
Top Bottom