Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Ndio"Nikusaidieje" by Prof Jay & Ferooz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio"Nikusaidieje" by Prof Jay & Ferooz
Salimie sana litembo hapoNdio
Unamzalisha asubuhi na mchana ziwa likilala hana ujanja hapo we ushajizeekea unasubiri upigwe stroke ufe
Ilikuwaje Mkuu, tupe hints angalau tujifunze kupitia kaka yakoKosea kujenga utavunja na kurekebisha lakini ukikosea kuoa ni majuto makubwa sana ambayo hayaponyeki kirahisi na hata yakipona kovu lake huwa halifutiki daima.
Nimejifunza hii kupitia kwa kaka yangu mkubwa katika familia yetu
Daah nikipata mwenye tabia hizi , naoaAnakuwa na sifa hizi:-
Ongezeni na zingine wakuu...
- Anakuwa mnyenyekevu
- Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi, kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole
- Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako
- Atakuwa anakuja mara kwa mara kukufanyia usafi, kupika n.k
- Anakuwa na mawazo ya maisha ya mbeleni
- Ukitaka kumtoa 'out' haji na wenzake, anakuja mwenyewe
- Anakuwa hana makundi
- Atapenda akufahamu zaidi kwa mazingira ya kukudadisi
- Atakuwa anakuhimiza kwenda kusali nyumba za ibada kwa siku husika
- Atapenda kukufariji pale unapokuwa na msongo wa mawazo
- Hana matumizi ya anasa,n.k
Mimi simtaki was hivyo coz najua hata hayupo!Na kwanini utake mwenye Sifa zote hizo lakini
😂😂Ukitaka kumtoa 'out' haji na wenzake, anakuja mwenyewe
Sijaelewa comment yakoSalimie sana litembo hapo
oooh shitAnakuwa na sifa hizi:-
Ongezeni na zingine wakuu...
- Anakuwa mnyenyekevu
- Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi, kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole
- Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako
- Atakuwa anakuja mara kwa mara kukufanyia usafi, kupika n.k
- Anakuwa na mawazo ya maisha ya mbeleni
- Ukitaka kumtoa 'out' haji na wenzake, anakuja mwenyewe
- Anakuwa hana makundi
- Atapenda akufahamu zaidi kwa mazingira ya kukudadisi
- Atakuwa anakuhimiza kwenda kusali nyumba za ibada kwa siku husika
- Atapenda kukufariji pale unapokuwa na msongo wa mawazo
- Hana matumizi ya anasa,n.k
Kwani vina shida gani hvyo viatu?Mimi huwa napenda wanovaa aina hii ya viatu 🤣👇View attachment 1947086
Hebu acha kutusingizia huko!Subiri sasa aingie ghetto, utaomba poo!
Umeacha 500 halafu ukirudi ukute kuku,hiyo hapana kabisaMwanamke anayetaka ndoa ukimwachia buku unakuta chakula cha maana
Hizo tabia hapo labda tukamchonge espy wa maboksi, ninayemuona hawezi kuwa hivyo, hata nusu[emoji23][emoji23][emoji23]Hebu acha kutusingizia huko!
Hiyo inaongeza msongo wa mawazoAwe na trakooo! Unasahau vipi hiyo sifa tukuka?
Kila kitu ni utandawaziMiaka hii kazi sn kumpata mke wa kuoa
Awe na bikra au Bikra sio muhimu ?Anakuwa na sifa hizi:-