Utamtambuaje mwanamke anayetaka ndoa?

Utamtambuaje mwanamke anayetaka ndoa?

Anakuwa na sifa hizi:-
  • Anakuwa mnyenyekevu
  • Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi, kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole
  • Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako
  • Atakuwa anakuja mara kwa mara kukufanyia usafi, kupika n.k
  • Anakuwa na mawazo ya maisha ya mbeleni
  • Ukitaka kumtoa 'out' haji na wenzake, anakuja mwenyewe
  • Anakuwa hana makundi
  • Atapenda akufahamu zaidi kwa mazingira ya kukudadisi
  • Atakuwa anakuhimiza kwenda kusali nyumba za ibada kwa siku husika
  • Atapenda kukufariji pale unapokuwa na msongo wa mawazo
  • Hana matumizi ya anasa,n.k
Ongezeni na zingine wakuu...
Safi zmekamilika
 
Sisi wa mujini ndo tunawapenda hao slay queens. Nikaoe kijijini anajua matumizi ya pipi kifua kweli kunako faragha? Nyie jamaa acheni utani nyie.
Pipi kifua ina nini tena khaa
 
Anakuwa na sifa hizi:-
  • Anakuwa mnyenyekevu
  • Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi, kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole
  • Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako
  • Atakuwa anakuja mara kwa mara kukufanyia usafi, kupika n.k
  • Anakuwa na mawazo ya maisha ya mbeleni
  • Ukitaka kumtoa 'out' haji na wenzake, anakuja mwenyewe
  • Anakuwa hana makundi
  • Atapenda akufahamu zaidi kwa mazingira ya kukudadisi
  • Atakuwa anakuhimiza kwenda kusali nyumba za ibada kwa siku husika
  • Atapenda kukufariji pale unapokuwa na msongo wa mawazo
  • Hana matumizi ya anasa,n.k
Ongezeni na zingine wakuu...
Ukijamba mbele yake atakwambia "bebi pole, vipi umeumiaa!!???"
 
Wengine wanaigiza ili ufuate taratibu zote umuweke ndani kisha yajayo ..........

Tahadhari na umakini ni muhimu sana
Nilitegemea comment yenye nguvu kama hii...

Thread ifungwe tu make ushamaliza kila kitu.
 
Halafu utampata mwenye sifa zote hizo na bado utamsaliti au utamuacha

By the way hayuko mwanamke mwenye sifa zote hizo duniani sijui kwanini wanaume mnatakaga wanawake wakamilifu wakati hata ninyi wenyewe mna mapugufu yenu
Karma is a bitch!

My bad [emoji1751]
 
Nilitegemea comment yenye nguvu kama hii...

Thread ifungwe tu make ushamaliza kila kitu.
Kosea kujenga utavunja na kurekebisha lakini ukikosea kuoa ni majuto makubwa sana ambayo hayaponyeki kirahisi na hata yakipona kovu lake huwa halifutiki daima.

Nimejifunza hii kupitia kwa kaka yangu mkubwa katika familia yetu
 
Back
Top Bottom