Utamtambuaje mwanamke anayetaka ndoa?

Safi zmekamilika
 
Sisi wa mujini ndo tunawapenda hao slay queens. Nikaoe kijijini anajua matumizi ya pipi kifua kweli kunako faragha? Nyie jamaa acheni utani nyie.
Pipi kifua ina nini tena khaa
 
Ukijamba mbele yake atakwambia "bebi pole, vipi umeumiaa!!???"
 
Wengine wanaigiza ili ufuate taratibu zote umuweke ndani kisha yajayo ..........

Tahadhari na umakini ni muhimu sana
Nilitegemea comment yenye nguvu kama hii...

Thread ifungwe tu make ushamaliza kila kitu.
 
Halafu utampata mwenye sifa zote hizo na bado utamsaliti au utamuacha

By the way hayuko mwanamke mwenye sifa zote hizo duniani sijui kwanini wanaume mnatakaga wanawake wakamilifu wakati hata ninyi wenyewe mna mapugufu yenu
Karma is a bitch!

My bad [emoji1751]
 
Nilitegemea comment yenye nguvu kama hii...

Thread ifungwe tu make ushamaliza kila kitu.
Kosea kujenga utavunja na kurekebisha lakini ukikosea kuoa ni majuto makubwa sana ambayo hayaponyeki kirahisi na hata yakipona kovu lake huwa halifutiki daima.

Nimejifunza hii kupitia kwa kaka yangu mkubwa katika familia yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…