Utamtambuaje mwanamke anayetaka ndoa?

Mke mwema hutoka kwa Mungu, ibada ni mafunzo ya uvumilivu, kusheshimu,hekima,huruma,upole wa kiasi, na unyenyekevu. Hapo mke utaishia nae na sifa zote utaziona hata kama huwa anaenda kimboka.
 
Eti atakayekufa kwa ajili yako ndio Wife material,huyo ndio wa kuoa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…