Utamu wa kuishinda Argentina, Saudi Arabia yaitangaza kesho kuwa siku ya mapumziko kuwapa nafasi wananchi kusherehekea ushindi!

Nafikiri itakuwaje ikitokea Tz tukatinga kombe la dunia huko marekani mwaka 2026 halafu tukawa kundi moja na Brazil halafu tukawafunga 2-0!! Tutaomba tupewe siku 2 kabisa za mapumziko ya kushangilia ushindi!! Inawezekana!!
Ujue 2026 ni miaka 3 tokea sasa, je tumejiandaa?

Je tuna team?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Boli lilitembea kweli kweli hata kamba za Saudi zilikua kali kinyama.Bado nasimama na Argentina mpaka mwisho mwisho kabisaa.
 
Kimessi kina mkosi wanakipelekea sononi kuu katika siku za uzee wake.Wamesema watu timu yake yaweza twaa kombe la gunia.mpira wadunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…