pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Alaa kumbeeee nikazani waarabuWamekasirika mikeka yao imechanika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaa kumbeeee nikazani waarabuWamekasirika mikeka yao imechanika
Ujue 2026 ni miaka 3 tokea sasa, je tumejiandaa?Nafikiri itakuwaje ikitokea Tz tukatinga kombe la dunia huko marekani mwaka 2026 halafu tukawa kundi moja na Brazil halafu tukawafunga 2-0!! Tutaomba tupewe siku 2 kabisa za mapumziko ya kushangilia ushindi!! Inawezekana!!
Kwa Argentina utasubiri sana!!Boli lilitembea kweli kweli hata kamba za Saudi zilikua kali kinyama.Bado nasimama na Argentina mpaka mwisho mwisho kabisaa.
Ha ha ha ha.Kiko wapi?
AiseeKiko wapi?