Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Basi hapo naona tatizo ni hio kupiga bao moja si kutokufikishwa kileleni shida ni amechanganya kuridhishwa na kufikishwa kileleni, sisi wote unaotuona hapa hata hatufikishi huko kileleni na wengi hawajui kabisa huko kileleni kunakuwaje so yeye kuoigwa kimoja alibidi aseme haridhiki maana ni ukweli kimoja hautidhiki kwa mwanamke na mwanaume.Sijui mengi ila najua binti hajawahi kufikishwa kilelen na jamaa hajawahi kurudia na kwamba kwa jamaa yake wa zaman alikua anamalizwa genye zake na kwamba Ex wa jamaa pia alikua analalamikia the same thing.