Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Sijui mengi ila najua binti hajawahi kufikishwa kilelen na jamaa hajawahi kurudia na kwamba kwa jamaa yake wa zaman alikua anamalizwa genye zake na kwamba Ex wa jamaa pia alikua analalamikia the same thing.
Basi hapo naona tatizo ni hio kupiga bao moja si kutokufikishwa kileleni shida ni amechanganya kuridhishwa na kufikishwa kileleni, sisi wote unaotuona hapa hata hatufikishi huko kileleni na wengi hawajui kabisa huko kileleni kunakuwaje so yeye kuoigwa kimoja alibidi aseme haridhiki maana ni ukweli kimoja hautidhiki kwa mwanamke na mwanaume.
 
Binti anadai hawajawahi kurudia gemu hata mara moja.
Binti ana maisha yake..Inshort ni bosslady hana shida na hela ya huyo mtu.
Binti ana watu wengine hadi wa mataifa ya nje wanamuhitaji nimemshauri ajaribu na mtu mwingine
"Binti anawatu wengine Hadi wa mataifa nje wanamhitaji '
 
Kwa comments hizi no wonder wanawake wengi hulalamika kutofikishwa🙆🙆🙆
 
Basi hapo naona tatizo ni hio kupiga bao moja si kutokufikishwa kileleni shida ni amechanganya kuridhishwa na kufikishwa kileleni, sisi wote unaotuona hapa hata hatufikishi huko kileleni na wengi hawajui kabisa huko kileleni kunakuwaje so yeye kuoigwa kimoja alibidi aseme haridhiki maana ni ukweli kimoja hautidhiki kwa mwanamke na mwanaume.
Inshort ni hivi.
Binti ana genye zilizorundikana kwa mwaka mzima na hazijawahi kutolewa hata mara moja wakikutana.
Inshort binti yuko mentally unstable sbb ya genye za mda mrefu kisa kujifanya loyal kwa jamaa😁
 
Kwa hiyo yeye ana bahati mbaya yakukutana na wanawake wasioweza kukojoa?
Ex wa jamaa nae kilio.chake kilikua hicho hicho huon jamaa ana shida?
Toa ushauri tumjuze vp ajue ana.shida
Hao wanawake ndio wenye shida,ndo maana jamaa anaamua kujiridhisha mwenyewe nakupita hivi.Kwasababu ingekua ni wapenzi wanaojua nini maana yakupeana raha za mapenzi ata kidole kingetosha kukojozana.
 
Tulikubaliana kuwa anayefikishwa ni mke tu!, Haiwezekani udai posho ya meza na kufikishwa juu!
 
Kuna binti hapa ananiambia eti amekua kwenye mahusiano kwa mwaka mzima ila kwa kipindi.chote hicho jamaa hajawahi kumkojoza hata mara moja.

Anadai genye za muda mrefu zimesababisha awe frustrated ila anaogopa kwa vile anampenda mtu wake anaogopa akimwambia atajisikia vibaya hasa ukizingatia jamaa anadai ex galfriend wake alikua akimtangaza kuwa ni mwanaume suruali.

Binti anadai hataki kumuumiza jamaa kama alivyoumizwa na ex galfriend ila anatamani jamaa ajue ila hajui amjuze vipi bila kuumiza hisia za kipenzi chake.

Wakuu mie nimeshindwa cha kushauri naomba mnisaidie
Aanze nahii amchanganyie kimya kimya SILMET CITRATE 100MG CHEWABLE

Iwe kwenye bakuli la supu au kikombe Cha chai au uji au juice ama soda...

Yeye asijue iwe Siri yako then mpige mechi baada ya kuhakikisha amekunywa zipite dakika 45 mpaka lisaa muingie kwenye mtanange........

Mfanyie Assessment baada ya mechi then Rudi hapa kukoment tujue shida itakua ni nini..

Wasalaam
 
Amwambie ukweli asiogope , uwasilishaji tu ndo uwe kistaarabu !! Kama anataka zaidi ya kimoja wakimaliza hicho kimoja amwambie leo mkuu nataka viwili hata kama kitaishia katikati sawa waboreshe mpaka viwe sita huko Sasa mahusiano gani unaogopa kusema changamoto zako !! Na wanaume huwa wakiambiwa huwa wanafeel vibaya ila hakuachi ataenda kuuliza kwa wana jinsi ya kusimamia ukucha !! Watampa solution hadi ataziacha mezani ! Week tu ana stamina !! Mwanaume akishasimamisha tu vingine asee vinatibika dadeki , shida ni ile mzigo hauinuki hata ukiona paja jeupe !!!

Kama hawezi kukufikisha mwambie sehemu unazotaka kushikwa na unapenda kufanyiwa nini !! Na upunguze madeni huko mtaani na kausha damu ! Usikute mwamba anaperform ila na wewe ushakua mfupa uliomshinda fisi

Na jamaa huyo sio wa kimoja huenda ni saikolojia tu imejijenga kichwani kwakwe kwamba hawezi kazi 😂😂
Mwelekeze aweze kujiamini ufurahie mahusiano na yeye afurahie !!
 
Aanze nahii amchanganyie kimya kimya SILMET CITRATE 100MG CHEWABLE

Iwe kwenye bakuli la supu au kikombe Cha chai au uji au juice ama soda...

Yeye asijue iwe Siri yako then mpige mechi baada ya kuhakikisha amekunywa zipite dakika 45 mpaka lisaa muingie kwenye mtanange........

Mfanyie Assessment baada ya mechi then Rudi hapa kukoment tujue shida itakua ni nini..

Wasalaam
Nakubali mwamba , halafu hata huyo mshikaji ni anti social huenda ni wale wakujifungia fungia ndani !! Mwanaume ukiwa una perform vibaya unakua unajijua hata kuuliza kwa wahuni solution wanazo kibao !
 
Back
Top Bottom